wasanii wa kikundi cha tanzania house of talent a.k.a THT wakionesha umahiri wao wa sanaa ya jukwaani usiku huu katika kituo cha utamaduni cha urusi, dar, katika kuadhimisha siku ya mtoto duniani. juu ni mwimbaji wa kundi hilo anayekuja juu kwa kasi sana, mwasiti, na chini ni wachezaji wa kundi hilo wakifanya vitu vyao.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2008

    Michuzi wajionaje na hali leo.Mimi na Kiswahili changu nilichofundishwa kidato cha tatu na nne miaka hiyo,moja ya kazi ya sanaa ni kufikisha ujumbe kwa jamii.Sasa hawa THT siku ya kuadhimisha siku ya mtoto duniani mavazi ndo hayo(Picha ya chini).Ndiyo wanawafundisha nini watoto wetu???.Naongelea mavazi tu.Ahsante.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...