Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete na viongozi wengine wakiwa kwenye ukumbi wa African Dream, Area D mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa mkutano wa wabunge wote wa CCM na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM juni 15,2008. Vingozi hao kutoka kushoto ni Spika wa Bunge, Samwel Sitta, Katibi Mkuu wa CCM Mstaafu, Rashidi Kawawa, Mamamu Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar Aman Karume, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba na Makamu Mwenyeekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa.

Na chenge alikuwepo?
ReplyDeleteHAWA NDIO WANAOJENGA NA KUILINDA BILLIONEARS CLUB. LONG LIVE MKUKUTA, LONG LIVE TAKUKURU SHETANI BLESS CCM.
ReplyDeletejamani si walisema Makamba anaumwa hoi!!mbona namuona hapo??duniani kuna mambo....teh teh teh
ReplyDeleteYep, habari ndiyo hiyo!!
ReplyDeleteKila Budget ikisomwa lazima wafanye hivyo ili kuweka mikakati jinsi gani ya kuwatumia wawakilishi wa CCM bungeni ili walazimishe bajeti ipite bila kupingwa.
Hali hiyo haijaanza leo ya kulazimisha budget. Ipo tangia enzi za awamu ya 3 lakini sasa ndio inashika kasi.
Lakini kwa upande wangu naona haina haja ya kufanya hivyo kama kweli bugdet iliyopangwa ina NIA NA DHAMIRA YA KUWANUFAISHA WATANZANIA.
La sivyo yatawakuta yaliyo wakuta wenzao wanne waliotangulia
Aisee Bwashee,hawa jamaa siku zao zinahesabika hata wafanye nini.Labda waachane na huo 'uzi' wa Yanga wavae wa Simba.
ReplyDeleteiv kiongoz gan aliokuwa anaroga bungen,wadau nisaidien
ReplyDeleteTAKUKURU
ReplyDeleteA)Taasis yA..Kula Unachotaka..Kimbia..Usionekane..Ruksa..Ushaipata
CCM wamezidi "kufisadi". Na kosa sio lao bali sisi tuliokubali huo ufisadi, watu ni viongozi tangu 1960's na hakuna kilichobadilika kwanini wasiondoke?
ReplyDelete