ukumbi huu siku ya sherehe ukipata mpambaji hupambika



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 19, 2008

    harusi ya nani???WOW!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 20, 2008

    Mpambaji ni nani michuzi? ninataka kumjua, muweke hewani, pamependeza sana.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 20, 2008

    heeh!!! r u serious??? Ukumbi wa Diamond Jubilee Hall!! Why? labda sielewi tofauti kati ya Ukumbi na Hall. Anyway umepambika.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 20, 2008

    Jamani yupo mtu anaeweza kunisaidia rate za Diamond Jubilee kwenye kukodisha ukumbi for the weding? au kama yupo mtu mwenye contant zao ningeomba anisaidie niweze kuwasiliana nao.Tks my God bless you.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 20, 2008

    Wakuu wangu heshima mbele kama kawa, ninaomba kuweka mpya kutoka Dodoma:-

    1. Leo asubuhi Mbunge Chenge, alichukuliwa na polisi na kuepelekwa kituo cha
    polisi Dodoma mjini, kwa mahojiano ya muda wa karibu masaaa matatu kuhusiana na
    kitendo alichokifanya majuzi cha kujaribu kuweka "Uchawi" kwa baadhi
    ya wabunge wenziwe ndani ya bunge, kitendo ambacho kilikamatwa na vinasa picha
    vya jengo vilivyomo ndani ya jengo la bunge, Dodoma.

    2. Mheshimiwa Mkapa, kwa mara ya kwanza leo amehudhuria kikao cha siri cha NEC,
    kinachoendelea toka jana usiku, mjini Dodoma, ameonekana akiwa hoi na amechoka
    sana, wachunguzi wa siasa hawaelewi ni kwa nini baada ya Mkapa kukataa kwa
    makusudi kuhudhuria vikao mbali mbali vya cc na NEC vilivyopita, safari hii
    ametokea bila ya taaarifa kuhudhuria kikao hiki, ambacho kimeitwa ghafla sana.

    3. Gavana wa Benki kuuu Bwana Ndulu, kwa mara nyingine aliiitwa mbele ya kikao
    hiki kutoa maelezo mazito sana, kuhusiana na ishu za EPA, na zingine za
    ufisadi, according to the dataz ni kwamba alishambuliwa sana kwa maswali ya
    wajumbe huko ndani.

    4. Hali ya Mbunge Shujaaa Mwakyembe, sio mbaya sana lakini sio nzuri pia, sasa
    hvii ninapooandika yumo njiani kuepelekwa Dar, kwenda kuangaliwa zaidi kiafya
    na wataaalamu wa juu wa afya nchini, inasemekana kuwa chanzo ni sangoma ya
    Chenge.

    5. Kwa niaba ya wananchi wengi hapa, tumewasiliana na Mbunge Kimaro, ili aweze
    kuja na kutupa yanayojiri kulingana na haitma yake kiuongozi na all the ishus
    za siasa za taifa kwa ujumla, tunategmea kupata jibu rasmi baadaye kuhusu
    kupatikana kwake na siku, then tutawasilaina na wakulu wengine hapa na hasa
    mkulu MMMJ.

    Ahsante Wakuu, na Mods naomba ikisha expire iepelekwe popote, ni kuhabarishana
    tu kinachoendelea kwenye siasa za taifa letu!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 20, 2008

    Kwa aliyeulizia contact za diamond jubilee angalia link: http://www.harusiyangu.com/providerdetails.php?providerid=5

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 23, 2008

    Nashukuru kwa mdau aliyenipa information za kupata contact za Diamond jubilee lakini ukweli ni kwamba contact zilizopo pale nimejaribu kupiga simu inapokelewa na Diamond Bank.
    But tks very much for your help my almight God bless you.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...