Home
Unlabelled
ukumbi wa diamond jubilee hall
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
harusi ya nani???WOW!
ReplyDeleteMpambaji ni nani michuzi? ninataka kumjua, muweke hewani, pamependeza sana.
ReplyDeleteheeh!!! r u serious??? Ukumbi wa Diamond Jubilee Hall!! Why? labda sielewi tofauti kati ya Ukumbi na Hall. Anyway umepambika.
ReplyDeleteJamani yupo mtu anaeweza kunisaidia rate za Diamond Jubilee kwenye kukodisha ukumbi for the weding? au kama yupo mtu mwenye contant zao ningeomba anisaidie niweze kuwasiliana nao.Tks my God bless you.
ReplyDeleteWakuu wangu heshima mbele kama kawa, ninaomba kuweka mpya kutoka Dodoma:-
ReplyDelete1. Leo asubuhi Mbunge Chenge, alichukuliwa na polisi na kuepelekwa kituo cha
polisi Dodoma mjini, kwa mahojiano ya muda wa karibu masaaa matatu kuhusiana na
kitendo alichokifanya majuzi cha kujaribu kuweka "Uchawi" kwa baadhi
ya wabunge wenziwe ndani ya bunge, kitendo ambacho kilikamatwa na vinasa picha
vya jengo vilivyomo ndani ya jengo la bunge, Dodoma.
2. Mheshimiwa Mkapa, kwa mara ya kwanza leo amehudhuria kikao cha siri cha NEC,
kinachoendelea toka jana usiku, mjini Dodoma, ameonekana akiwa hoi na amechoka
sana, wachunguzi wa siasa hawaelewi ni kwa nini baada ya Mkapa kukataa kwa
makusudi kuhudhuria vikao mbali mbali vya cc na NEC vilivyopita, safari hii
ametokea bila ya taaarifa kuhudhuria kikao hiki, ambacho kimeitwa ghafla sana.
3. Gavana wa Benki kuuu Bwana Ndulu, kwa mara nyingine aliiitwa mbele ya kikao
hiki kutoa maelezo mazito sana, kuhusiana na ishu za EPA, na zingine za
ufisadi, according to the dataz ni kwamba alishambuliwa sana kwa maswali ya
wajumbe huko ndani.
4. Hali ya Mbunge Shujaaa Mwakyembe, sio mbaya sana lakini sio nzuri pia, sasa
hvii ninapooandika yumo njiani kuepelekwa Dar, kwenda kuangaliwa zaidi kiafya
na wataaalamu wa juu wa afya nchini, inasemekana kuwa chanzo ni sangoma ya
Chenge.
5. Kwa niaba ya wananchi wengi hapa, tumewasiliana na Mbunge Kimaro, ili aweze
kuja na kutupa yanayojiri kulingana na haitma yake kiuongozi na all the ishus
za siasa za taifa kwa ujumla, tunategmea kupata jibu rasmi baadaye kuhusu
kupatikana kwake na siku, then tutawasilaina na wakulu wengine hapa na hasa
mkulu MMMJ.
Ahsante Wakuu, na Mods naomba ikisha expire iepelekwe popote, ni kuhabarishana
tu kinachoendelea kwenye siasa za taifa letu!!
Kwa aliyeulizia contact za diamond jubilee angalia link: http://www.harusiyangu.com/providerdetails.php?providerid=5
ReplyDeleteNashukuru kwa mdau aliyenipa information za kupata contact za Diamond jubilee lakini ukweli ni kwamba contact zilizopo pale nimejaribu kupiga simu inapokelewa na Diamond Bank.
ReplyDeleteBut tks very much for your help my almight God bless you.