Home
Unlabelled
wabongo wanaotuwakilisha MTV
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
seven i would recommend apricot scrub.it would make you look shiner and take out all the clots of acne that you are enduring.you are very BEAUTIFUL!!
ReplyDeleteDada wa kushoto mzuri kwa asili....ila ukitumia Proactive Step 1,2 & 3 utapata chocolate complexion ya nguvu.
ReplyDeleteNdumba Bungeni: Mapolisi wafikia patamu
ReplyDelete2008-06-19 18:50:26
Na Mwandishi Wetu, Jijini
Baada ya kuzua gumzo kubwa Bungeni na hata nje ya chombo hicho cha kutunga sheria, hatimaye lile soo la kudaiwa kufanyika kwa mambo yanayoashiria ushirikina ndani ya Ukumbi wa Bunge limefikia patamu baada ya Polisi kueleza kuwa wako katika hatua nzuri ya kulipatia majibu muafaka.
Utamu wa mahala palipofikiwa katika sakata lenyewe, unatokana na taarifa `latest` za Polisi kueleza kuwa kumbe, hadi sasa wameshatuma vijana wao wa kazi ambao wamekusanya sampuli za vumbi linalodaiwa kuwa na madubwana ya namna ya unga yaliyokutwa ndani ya ukumbi huo na kupelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali ili baada ya hapo, kila kitu kiwekwe bayana kuhusiana na sakata hilo.
Hata hivyo, hatua ya Polisi inatokana na hofu waliyokuwa nayo baadhi ya wabunge kuwa pengine, kuna watu wamenyunyiza unga unga wenye sumu, hasa baada ya kuwepo kwa taarifa za kuonekana watu kwenye kamera za ndani ya ukumbi wa Bunge wakizunguka kwenye viti vyao.
Kaimu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Bw. Peter Kivuyo, amesema kuwa vumbi lilofagiliwa katika ukumbi wa Bunge, tayari limeshafikishwa katika ofisi za Mkemia Mkuu wa Serikali kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi zaidi na hatimaye kujua kama limechanganyika na aina yoyote ya dawa.
Kaimu Mkurugenzi huyo wa Upelelezi akasema kwa kawaida, vumbi na taka zinazokuswanywa bungeni hutupwa, lakini kutokana na madai ya kuwepo kwa hofu hiyo, walilichukua vumbi hilo na kisha kulisafirisha hadi Jijini Dar.
Hata hivyo, akasema watu wanaodaiwa kushiriki katika zoezi hilo la kumwaga unga bungeni hawakuhojiwa na Makao Makuu yao na kuongeza kuwa kazi hiyo inafanywa na Polisi mkoani Dodoma.
Aidha, Kivuyo akawaahidi Watanzania kuwa hadi sasa, uchunguzi kuhusiana na sakata hilo unaendelea na mambo yote yataanikwa, kadri ukweli utakavyokuwa unapatikana.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samwel Sitta, ni kwamba Jumanne ya wiki iliyopita, alipata taarifa kuwa kamera za usalama bungeni ziliwaonyesha watu wawili wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge usiku, huku wakipita katika viti mbalimbali vya wabunge.
Hata hivyo, Spika akawahakikishia wabunge kuwa hakuna wasiwasi wowowte kuhusiana na usalama ndani ya ukumbi huo na kuwaambia kuwa suala hilo liko mikononi mwa wana usalama kwa uchunguzi zaidi.
MMEPENDEZA JAMANI AKAA..DADA WA KUSHOTO NANIHII ZAKO KALI KWELI MPAKA NANIHII ZINATOKA USONI..NIMEKUBALI
ReplyDeletesamahani kwa kuwaulizeni swali, ila naomba sana msaada wenu, eti katika picha kama hapa, mwandishi anaposema kushoto anamaana kushoto kwa hao waliopigwa picha au kushoto kwa sisi watazamaji wa picha?
ReplyDeletemfano picha hii, alie kushoto ndie mwenye nyeusi au njano?
otherwise nimewapenda wasichana wako cute na wanaonekana ni brave young girls.
Haya wadau kwa kuua wameshaanza, nami nataka kuuliza huyu Saba ana bwana? Hebu tupeni 411, mimi niko tayari kuoa? Au dada bado ana dunda?
ReplyDeleteSeven please get in touch with me. My mail, alex_lyimo@yahoo.com
ReplyDeleteHao mabini ni wazuri na bado wadogo msiwachulie eti mnataka kuwaoa. nyie endeleza libeneke la utangazaji achana na hao wazushi.
ReplyDeleteNantombe
Moshi
hi christina mosha looks so fat nowdays,remember you since jitegemee high school,you were real modal by then,natumai na kautu uzima kameanz kukunyemelea sasa!
ReplyDeletehongera kwa mafanikio katika kazi from clouds 88.4 up to MTV-AFRICA.we all know u are talented
congratz Dear Gal!
Wakuu wangu heshima mbele kama kawa, ninaomba kuweka mpya kutoka Dodoma:-
ReplyDelete1. Leo asubuhi Mbunge Chenge, alichukuliwa na polisi na kuepelekwa kituo cha
polisi Dodoma mjini, kwa mahojiano ya muda wa karibu masaaa matatu kuhusiana na
kitendo alichokifanya majuzi cha kujaribu kuweka "Uchawi" kwa baadhi
ya wabunge wenziwe ndani ya bunge, kitendo ambacho kilikamatwa na vinasa picha
vya jengo vilivyomo ndani ya jengo la bunge, Dodoma.
2. Mheshimiwa Mkapa, kwa mara ya kwanza leo amehudhuria kikao cha siri cha NEC,
kinachoendelea toka jana usiku, mjini Dodoma, ameonekana akiwa hoi na amechoka
sana, wachunguzi wa siasa hawaelewi ni kwa nini baada ya Mkapa kukataa kwa
makusudi kuhudhuria vikao mbali mbali vya cc na NEC vilivyopita, safari hii
ametokea bila ya taaarifa kuhudhuria kikao hiki, ambacho kimeitwa ghafla sana.
3. Gavana wa Benki kuuu Bwana Ndulu, kwa mara nyingine aliiitwa mbele ya kikao
hiki kutoa maelezo mazito sana, kuhusiana na ishu za EPA, na zingine za
ufisadi, according to the dataz ni kwamba alishambuliwa sana kwa maswali ya
wajumbe huko ndani.
4. Hali ya Mbunge Shujaaa Mwakyembe, sio mbaya sana lakini sio nzuri pia, sasa
hvii ninapooandika yumo njiani kuepelekwa Dar, kwenda kuangaliwa zaidi kiafya
na wataaalamu wa juu wa afya nchini, inasemekana kuwa chanzo ni sangoma ya
Chenge.
5. Kwa niaba ya wananchi wengi hapa, tumewasiliana na Mbunge Kimaro, ili aweze
kuja na kutupa yanayojiri kulingana na haitma yake kiuongozi na all the ishus
za siasa za taifa kwa ujumla, tunategmea kupata jibu rasmi baadaye kuhusu
kupatikana kwake na siku, then tutawasilaina na wakulu wengine hapa na hasa
mkulu MMMJ.
Ahsante Wakuu, na Mods naomba ikisha expire iepelekwe popote, ni kuhabarishana
tu kinachoendelea kwenye siasa za taifa letu!!
... seven aint fat, she has a healhy body. na kuhusu acne, msitumie hili neno kufananisha na chunusi za kawaida. its a skin condition ambayo anaweza kupata mtu yoyote vile, hata wewe unaweza kupata hormone zaka zikichagua kwenda huko and will take years to correct it self.
ReplyDeletehey seven,
ReplyDeletegood to see you going places...
i remember Ashira girls...
big up sana tu, and you are beautiful... lets get in touch,
nilikuwa nimemcoat mdogo wake kidada enzi hizo za ashira.
All the best to Tanzanian young girls who are doing great!!!
ReplyDeleteDada Seven hongera,sura yako ni ya uasilia bila kutumia manjonjo yoyote. Nyie mnaemshauri kutumia madawa ya kung'arisha uso hamumtakii mema,wanga wakubwa nyie!
ReplyDeleteKama sijakosea huyu Vanessa Mdee atakuwa mtoto wa marehemu Sammy Mdee... kama ndiye naona amekuwa binti mrembo. Amechukua uzuri wa mama yake sofia. Hongera sana Vanessa
ReplyDelete