Home
Unlabelled
wadau kibao sullivan
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
umependeza wangu,hiyo suti ilivyokutoa,hata baba yangu atakubali mahari
ReplyDeletemiss keys
mh wewe miss keys acha kujipigia debe bwana,nani kakwambia michuzi hajaoa
ReplyDeletena wewe 9.09 acha kujisheua kwani wewe shemeji yake michuzi nini? Miss keys ameswma wangu hajataja michuzi..hapo wenye suit wako wanaume watatau wewe umemwona michuzi tuuu
ReplyDeleteMichuzi na wenzio niiteni mwosha kinywa lakini sitaacha kusema. Kwenye hiyo picha ni huyo dada tu ana kafiga ka utatanishi. Hebu ni ulizie kama kaolewa kama jibu ndio basi naishia hapo hapo. Ila huyo jamaa wa mwisho hebu mwonyeshe picha hii yuko mwizi tu
ReplyDeletephanuel usisahau vile vitu nilivyokuagiza
ReplyDeleteJamani dada J.W you look good !! long time hapa mdogo wako Zanaki. Na Uncle yangu M.B na bwana kaka shemeji L.N keep it up napenda kuona vitu kama hivi watu wakijituma. LN ukirudi ukerewe itabidi nikutafute unipe yaliyojiri huko A-town. mam.
ReplyDeletenyie mnaomdharau michuzi mna kitu gani cha kutuonyesha?
ReplyDeletemwenzenu yupo wikipidea fuateni link hapa chini muende section inaitwa media
http://en.wikipedia.org/wiki/Tanzania
Kaka misupu, naomba niombee numberi ya shiiimu ya kiganjani ya ya ya ya ahuyo dada aliyevwla, shuuti ya langi ya bahali, jamani leo fipi mbona ninapat kigugugugugugumizhi shhaana, au kwa sababu nimekul;a mleenda na ugali ashubuhi, au mpe no yaangu ya Nokia brack converta zero seven fif fo two sheven wani two shix shix.mwambie naomba anipigie lakini kuanzia shaa shita usiku, mama watoto akishalala.
ReplyDeletewapili toka mwisho si LEO NYANDUGA HUYOOOOO? Poa sana yamewashuka wadaku wanaomwonea wivu nakadhalika. He is a real HUSTLER. beter than all TZ boys. Well done endelea kutesa Bruv.
ReplyDeletehahhahahaha 11:44 mwambiee huyoo,naona annijia juu kama moto wa kifuu,nimesema 'wangu' jina halijatajwa...we vipi wewe anon 9:09,usipayuke payuke utagongwa!
ReplyDeletemiss keys
Sis J si alikuwa demu wa fanueli enzi zake DC. Mr fanueli alimzidi kete shortii Dj Joe, akaamua kuanza na mwingine
ReplyDeletemnacheka nini we mirojo na huyo dada makubwaaaaaaaaa,
ReplyDeletemmependeza lakini.
sweet,
Arusha.
Naona kumekucha huko A- Town kwenye Sullivan. Hapo kutoka kulia ni Papa Baraka Msiilwa Mzee wa Twanga Pepeta Bongo Land, Leo Nyanduga wa Ukerewe(UK), Misupu msafisha vinywa mnamjua, Juni Warioba huyu sijui yuko bongo au Marekani! na Phanuel mwana wa Ligate Kijana wa DC Washingtion. Mmependeza vijana mtuwakilishe vizuri tuu huko Arusha wadau wenzenu
ReplyDeleteaisee suti zimewakubali unaweza changanya fisadi...kumbe wapi,mna roho nzuri
ReplyDeleteaisee suti zimewakubali unaweza changanya fisadi...kumbe wapi,mna roho nzuri
ReplyDeleteduh hapo suti kidogo iliyi mkaa nadhai Leo, wengine wote ni wako fat fat fat , vitambi na hazija watosha vizuri.
ReplyDeleteHuyo Phanuel kwa nanvyo mjua atakwua ame kwangua credit card yake kununua hiyo suti ili awaringishie wabongo(jamani ila kanenepa mbaka anatisha duh)
Sasa na wewe June , bwana wako ni nani ni Leo au nani ? mana sikuelewi kabisa.
Jamani huyo anony 12:05 anamjua Phanuel vzuri au ni mambo ya story tu za hapa mjini!! awa watu waliokuja kwenye huu mkutano hawajatumia sent coz ticket tu ni fedha nyingi bado mambo mengine ya accomodation (kujikimu) ni issue ndefu kwahiyo la msingi ni kuwapongeza tu wamefanya vizuri wameacha mambo mangapi huko kwao!! jiulizeni,kwa kifupi nawapongeza sana Jane, Nyanduga, Phanuel, Hasheem na wengine wote kwa ujumla Misupu wewe nakupa Bg Up Mtu wangu kama kawa kwa kutureprezeee....
ReplyDeleteWaswahili hamkomi maneno tu? Mijidomo juu juu kama bata mizinga!watu wamekuwa jamani!LN ana shimbonyi wako architecture fulani hapa bongo na JW ana shimbonyi wake jina kubwa fulani hivi.Majina hayatajwi manake wazee wa rada hawa.PL pia ana bibie huko Ukereweni!fungeni hayo mashimo yenu!
ReplyDeleteHamna cha wazee wa rada hapa wee anonymous 12:15!mafisadi wote tunawajua. kwani hao hawajulikani hao mashimbonyi? siri kwani? arhcitectru mwenye si snadra. tunajua ni bibi wa na nyanduga. pia ni mwandishi gazeti la bang.hamna cha siri au wazee wa radar hapa!
ReplyDeleteBg up wote kwa kutureprezeee....
Nilonbge nisilongeeeeeeeeeee?
ReplyDeleteNitoboe nisitoboeeeeeeeeeeee?
Huyo architect(sio architecture nyie wapuuzi msiokuwa na elimu) ni mwanablogu pia! Jina limenitoroka. Kaka michuzi unamjua lazima! Dada mmoja rasta ana usafiri utafikiria mhaya,kumbe mchaga.
Vijana wa Bongo sasa naona mmekamilika katika kila idara,saaafi saaaaana!
ReplyDelete