wadau wa marekani, ukerewe na bongo wamefurika a-taun kwa ajili ya mkutano wa sullivan

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2008

    umependeza wangu,hiyo suti ilivyokutoa,hata baba yangu atakubali mahari

    miss keys

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 02, 2008

    mh wewe miss keys acha kujipigia debe bwana,nani kakwambia michuzi hajaoa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 02, 2008

    na wewe 9.09 acha kujisheua kwani wewe shemeji yake michuzi nini? Miss keys ameswma wangu hajataja michuzi..hapo wenye suit wako wanaume watatau wewe umemwona michuzi tuuu

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 03, 2008

    Michuzi na wenzio niiteni mwosha kinywa lakini sitaacha kusema. Kwenye hiyo picha ni huyo dada tu ana kafiga ka utatanishi. Hebu ni ulizie kama kaolewa kama jibu ndio basi naishia hapo hapo. Ila huyo jamaa wa mwisho hebu mwonyeshe picha hii yuko mwizi tu

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 03, 2008

    phanuel usisahau vile vitu nilivyokuagiza

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 03, 2008

    Jamani dada J.W you look good !! long time hapa mdogo wako Zanaki. Na Uncle yangu M.B na bwana kaka shemeji L.N keep it up napenda kuona vitu kama hivi watu wakijituma. LN ukirudi ukerewe itabidi nikutafute unipe yaliyojiri huko A-town. mam.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 03, 2008

    nyie mnaomdharau michuzi mna kitu gani cha kutuonyesha?
    mwenzenu yupo wikipidea fuateni link hapa chini muende section inaitwa media
    http://en.wikipedia.org/wiki/Tanzania

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 03, 2008

    Kaka misupu, naomba niombee numberi ya shiiimu ya kiganjani ya ya ya ya ahuyo dada aliyevwla, shuuti ya langi ya bahali, jamani leo fipi mbona ninapat kigugugugugugumizhi shhaana, au kwa sababu nimekul;a mleenda na ugali ashubuhi, au mpe no yaangu ya Nokia brack converta zero seven fif fo two sheven wani two shix shix.mwambie naomba anipigie lakini kuanzia shaa shita usiku, mama watoto akishalala.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 03, 2008

    wapili toka mwisho si LEO NYANDUGA HUYOOOOO? Poa sana yamewashuka wadaku wanaomwonea wivu nakadhalika. He is a real HUSTLER. beter than all TZ boys. Well done endelea kutesa Bruv.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 03, 2008

    hahhahahaha 11:44 mwambiee huyoo,naona annijia juu kama moto wa kifuu,nimesema 'wangu' jina halijatajwa...we vipi wewe anon 9:09,usipayuke payuke utagongwa!

    miss keys

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 03, 2008

    Sis J si alikuwa demu wa fanueli enzi zake DC. Mr fanueli alimzidi kete shortii Dj Joe, akaamua kuanza na mwingine

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 03, 2008

    mnacheka nini we mirojo na huyo dada makubwaaaaaaaaa,
    mmependeza lakini.
    sweet,
    Arusha.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 03, 2008

    Naona kumekucha huko A- Town kwenye Sullivan. Hapo kutoka kulia ni Papa Baraka Msiilwa Mzee wa Twanga Pepeta Bongo Land, Leo Nyanduga wa Ukerewe(UK), Misupu msafisha vinywa mnamjua, Juni Warioba huyu sijui yuko bongo au Marekani! na Phanuel mwana wa Ligate Kijana wa DC Washingtion. Mmependeza vijana mtuwakilishe vizuri tuu huko Arusha wadau wenzenu

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 03, 2008

    aisee suti zimewakubali unaweza changanya fisadi...kumbe wapi,mna roho nzuri

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 03, 2008

    aisee suti zimewakubali unaweza changanya fisadi...kumbe wapi,mna roho nzuri

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 04, 2008

    duh hapo suti kidogo iliyi mkaa nadhai Leo, wengine wote ni wako fat fat fat , vitambi na hazija watosha vizuri.
    Huyo Phanuel kwa nanvyo mjua atakwua ame kwangua credit card yake kununua hiyo suti ili awaringishie wabongo(jamani ila kanenepa mbaka anatisha duh)

    Sasa na wewe June , bwana wako ni nani ni Leo au nani ? mana sikuelewi kabisa.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 04, 2008

    Jamani huyo anony 12:05 anamjua Phanuel vzuri au ni mambo ya story tu za hapa mjini!! awa watu waliokuja kwenye huu mkutano hawajatumia sent coz ticket tu ni fedha nyingi bado mambo mengine ya accomodation (kujikimu) ni issue ndefu kwahiyo la msingi ni kuwapongeza tu wamefanya vizuri wameacha mambo mangapi huko kwao!! jiulizeni,kwa kifupi nawapongeza sana Jane, Nyanduga, Phanuel, Hasheem na wengine wote kwa ujumla Misupu wewe nakupa Bg Up Mtu wangu kama kawa kwa kutureprezeee....

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 04, 2008

    Waswahili hamkomi maneno tu? Mijidomo juu juu kama bata mizinga!watu wamekuwa jamani!LN ana shimbonyi wako architecture fulani hapa bongo na JW ana shimbonyi wake jina kubwa fulani hivi.Majina hayatajwi manake wazee wa rada hawa.PL pia ana bibie huko Ukereweni!fungeni hayo mashimo yenu!

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 04, 2008

    Hamna cha wazee wa rada hapa wee anonymous 12:15!mafisadi wote tunawajua. kwani hao hawajulikani hao mashimbonyi? siri kwani? arhcitectru mwenye si snadra. tunajua ni bibi wa na nyanduga. pia ni mwandishi gazeti la bang.hamna cha siri au wazee wa radar hapa!
    Bg up wote kwa kutureprezeee....

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 04, 2008

    Nilonbge nisilongeeeeeeeeeee?
    Nitoboe nisitoboeeeeeeeeeeee?
    Huyo architect(sio architecture nyie wapuuzi msiokuwa na elimu) ni mwanablogu pia! Jina limenitoroka. Kaka michuzi unamjua lazima! Dada mmoja rasta ana usafiri utafikiria mhaya,kumbe mchaga.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 05, 2008

    Vijana wa Bongo sasa naona mmekamilika katika kila idara,saaafi saaaaana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...