wadau wa helsinki wakifurahia moja ya ushindi wao katika michuano ya kombe la prevention cup. habari zimeingia sasa hivi zinasema bongo fc leo wameitungua ugiriki 2-0 na kukwalifai kutinga nusu fainali za michuano hiyo. tarifa kamili baadaye kiduchu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 25, 2008

    Ongereni sana washikaji peperusheni bendera yetu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 25, 2008

    Naona vijana wa Mwenge Kijijini mmetulia...

    Mwambeni Amba afungue huku aone vijana wake wa Aljazeera wanakula happy

    ReplyDelete
  3. hongerani sana ndege wajanja..naona mnajua sana matumizi ya mtandao hasa mnapokuwa mmebahatisha ushindi.

    Naomba mkicheza mechi ya marudiano na wababe wenu wa mji TAMPERE muwe mnamuwaishia taarifa pia michuzi...aaa aaaa

    kipigo kile kile cha 3-1 kinawasubiri...

    hata mkiBAHATIKA kufika fainali ..mkija tampere mjue mtoto kwa baba hakui kibano pale pale

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 25, 2008

    Hongereni Bongo FC. Vipi mbona mdau Dennis Londo simuoni hapa?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 25, 2008

    Saaaaafi wabongo helsinki hivi huko hamna summer nawaona na masweta.na sioni wasichana wenu mlip[ataje ushindi bila kuchangiliwa na sauti adimu?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 25, 2008

    mdau unaemuulizia dennis londo ni yupo kati kati ya walio simama yaani kutoka kulia ni wa 9 na kutoka kushoto ni wa 9 nadhani utakuwa umemuona

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 25, 2008

    duuuh nakuona mdau Ougadougou(wagadugu)upara huo baba,si mchezo long time since tupo wote Mwadui.greetings to all-Mataluma,Ngereza na ur best friend Tostao.
    cha chandu - UK

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 26, 2008

    Edwin Ndaki unaandika sana pumba, tumekuchoka. Mbona mlivyofungwa na Vaasa hatukuona face book? Bongo FC kuna wachezaji awabahatishi.

    ReplyDelete
  9. Vaasa:2 TAS(Tampere):3
    Habari ndio hiyo!!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 31, 2008

    Oyah!! naomba kuuliza ...Hivi hii Bongo Fc huwa wanashinda tu au ???mbona mkifungwa hamtii timu humu kwny blog ni vp??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...