Home
Unlabelled
bongo fc yatinga nusu ainali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ongereni sana washikaji peperusheni bendera yetu.
ReplyDeleteNaona vijana wa Mwenge Kijijini mmetulia...
ReplyDeleteMwambeni Amba afungue huku aone vijana wake wa Aljazeera wanakula happy
hongerani sana ndege wajanja..naona mnajua sana matumizi ya mtandao hasa mnapokuwa mmebahatisha ushindi.
ReplyDeleteNaomba mkicheza mechi ya marudiano na wababe wenu wa mji TAMPERE muwe mnamuwaishia taarifa pia michuzi...aaa aaaa
kipigo kile kile cha 3-1 kinawasubiri...
hata mkiBAHATIKA kufika fainali ..mkija tampere mjue mtoto kwa baba hakui kibano pale pale
Hongereni Bongo FC. Vipi mbona mdau Dennis Londo simuoni hapa?
ReplyDeleteSaaaaafi wabongo helsinki hivi huko hamna summer nawaona na masweta.na sioni wasichana wenu mlip[ataje ushindi bila kuchangiliwa na sauti adimu?
ReplyDeletemdau unaemuulizia dennis londo ni yupo kati kati ya walio simama yaani kutoka kulia ni wa 9 na kutoka kushoto ni wa 9 nadhani utakuwa umemuona
ReplyDeleteduuuh nakuona mdau Ougadougou(wagadugu)upara huo baba,si mchezo long time since tupo wote Mwadui.greetings to all-Mataluma,Ngereza na ur best friend Tostao.
ReplyDeletecha chandu - UK
Edwin Ndaki unaandika sana pumba, tumekuchoka. Mbona mlivyofungwa na Vaasa hatukuona face book? Bongo FC kuna wachezaji awabahatishi.
ReplyDeleteVaasa:2 TAS(Tampere):3
ReplyDeleteHabari ndio hiyo!!!
Oyah!! naomba kuuliza ...Hivi hii Bongo Fc huwa wanashinda tu au ???mbona mkifungwa hamtii timu humu kwny blog ni vp??
ReplyDelete