wapenzi wa bwawa la maini zenji hawana idadi
najiandaa kupata ka-siesta kabla ya kuendelea na libeneke la ziff
mapicha ya bwawa la maini kila kona zenji nikiwa na mjasiriamali ambaye pia ni mpenzi wa bwawa la maini
leo nimekutana na wapenzi wengi wa bwawa la maini zenji. hawa wadau wanatoka mrima na wapo hapa kushuhudia tamasha la 11 la ziff





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2008

    Michuzi unalala na nguo hizo hizo!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 15, 2008

    Michuzi hoteli gani hiyo yenye vitanda vizuri namna hiyo. Jee vinauzwa huko Zenj, manake nataka kimoja kama hicho.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 15, 2008

    Ulitaka alale bila nguo na hapo ni Zenji???Ulifikiri yupo uchaggani ndio wanalala bila nguo kwani hatari ni ya kuibiwa hela lakini Zenji wewe!!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 16, 2008

    Doh !

    There is a lot to learn, I never figured out "LIVERPOOL" and "BWAWA LA MAINI" connection !
    Now I "see" why you "WILL NEVER WALK ALONE", mpo matumboni sambamba na utumbo, firikisi, damu , n.k.
    USHINDI NG'O !!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 16, 2008

    we! kaka misupu vipi!
    mi nakushangaa sana! sasa hapo Zenji umeingia na viatu chumbani,wakati unajua viatu uvuliwa mlangoni! mbona unatutukanisha wa bongo!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 16, 2008

    sasa? unanichekesha wewe michuzi hupo peke yako? na chumbani hapo kunavitanda viwili aina ya semedali,huyo mwenzio wa kitanda cha pili yuko wapi?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 16, 2008

    Michuzi, mbu wameshajaa humo ndani ya net, harakisha ulale. Hizo nguo ndo pajamas?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...