Home
Unlabelled
bwawa la maini zenji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi unalala na nguo hizo hizo!
ReplyDeleteMichuzi hoteli gani hiyo yenye vitanda vizuri namna hiyo. Jee vinauzwa huko Zenj, manake nataka kimoja kama hicho.
ReplyDeleteUlitaka alale bila nguo na hapo ni Zenji???Ulifikiri yupo uchaggani ndio wanalala bila nguo kwani hatari ni ya kuibiwa hela lakini Zenji wewe!!!!
ReplyDeleteDoh !
ReplyDeleteThere is a lot to learn, I never figured out "LIVERPOOL" and "BWAWA LA MAINI" connection !
Now I "see" why you "WILL NEVER WALK ALONE", mpo matumboni sambamba na utumbo, firikisi, damu , n.k.
USHINDI NG'O !!!
we! kaka misupu vipi!
ReplyDeletemi nakushangaa sana! sasa hapo Zenji umeingia na viatu chumbani,wakati unajua viatu uvuliwa mlangoni! mbona unatutukanisha wa bongo!
sasa? unanichekesha wewe michuzi hupo peke yako? na chumbani hapo kunavitanda viwili aina ya semedali,huyo mwenzio wa kitanda cha pili yuko wapi?
ReplyDeleteMichuzi, mbu wameshajaa humo ndani ya net, harakisha ulale. Hizo nguo ndo pajamas?
ReplyDelete