supa staa wa globu hii ya jamii baraka wa chibirti wa cesena, italy (aliyechuchumaa kwa kuogopa kuwanyanyapaa wadau kwa urefu wake), ametua bongo majuzi kwa likizo fupi na kupokelewa kwa shangwe na wadau mbalimbali kijiji cha makumbusho kilichopo kijitonyama, dar, wikiendi ilopita. bahati mbaya nilikuwa zenji kwenye vekesheni sikuhudhuria hafla hii iliyoandaliwa na fotobaraza kukutanisha wanakijiji. kwa habari na picha zaidi ya ujio wa chibiriti bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 36 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2008

    hongera chibirit na nyie wadau wa ughaibun mrud bongo ata likizo,bongo tambarare.
    mkirud bongo msikose kutujulisha tujumuike kama ilivyokuwa apo.
    mdau wa G7 unarud lin bongo?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2008

    Jamani naomba kuuliza maana kuuliza si ujinga, huyu Chibiriti ndo nani?
    yani ana nafasi gani katika jamii yetu ya Tanzania?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 22, 2008

    siyo kila mtu ni celebrity wa michuzi.com, tunarudi kinyemela. mie huwa napatikana pale Jacky's Masaki on a regular basis, nikija x-mass nitawastua

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 22, 2008

    Kaka Michu sina ugomvi na Chibiriti ila mtu anapokelewa Airport,bandarini au kituo cha treni.
    Gud vacation Chibiriti.
    Mdau Holland

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 22, 2008

    Deal kwa wadau wote wa ulaya wakirudi Tanzania wale vijana wote mliopo huko UK na Nchi nyingine za Ulaya mnaobeba maboksi na kufua nguo, kuna mfuko wetu unaanzishwa hapa Bongo kwa ajili ya kuwasaidia mnaporudi na kukosa kazi au makazi na kushia kuwabana ndugu na jamaa zako au kuishia kuwa ombaomba mpaka watu wanakuchoka na kukukimbia, sisi utakaa kwetu kwenye apartment zetu na kusaidiwa kutafuta kazi, mpaka uipate then utalipa taratibu kwa riba, mfuko utaitwa 'Tanzanian European Migrants Aid Fund' (TEMAF),

    Ni Hayo tu,

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 22, 2008

    NAOMBA NIMJIBU MDAU WA PILI.CHIBIRITI NI MDAU KWENYE HII BLOG YA JAMII NA UWA ANATULETEA HABARI KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI PIA NI MCHANGIAJ KWENYE BLOG YA JAMII.UMEULIZA SWAL ZURI TU USIKONDE.NATUMAIN NIMEKUJIBU VIZUERI.
    MDAU WA BOSTON

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 22, 2008

    we hapo juu humjui chibi, uko wapi wewe?kwa sasa nadiriki kusema umaarufu wake unazidi wa viongozi wa chama na serikali,ni kijana wa kitanzania mpiganaji na mwenye kuheshimika miongoni mwa jamii kwa michango mbali mbali ya mawazo anayotoa(sina hakika sana kama na ya kifedha anatoa pia )kwani ya kipesa hiyo ni sekta ya jack pemba,kwa hiyo chibi ni kijana jasiri kusema kweli ,karibu home chibi,najua sasa hivi michu anahaha kupiga picha na wewe m2 kangangania kupiga picha na CHRISS TUCKER,SEMBUSE CHIBI?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 22, 2008

    ni waziri mkuu huko nanihi na ni mtu mzito katika nanihi hii ya jamii wewe ni nani unataka kumjua chiberiti kale vumbi mla vumbi utakula vumbi hadi makoo yaote funza

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 22, 2008

    Anon wa pili umenichekesha sana na swali lako la kimbea na uchokozi, hapo unachokonoa mada tu huna jipya ukweli wewe ni mchokozi mno.

    Hongera bro. Chiby karibu tena nyumbani.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 22, 2008

    hongera chibirit na nyie wadau wa ughaibun mrud bongo ata likizo,bongo tambarare.
    mkirud bongo msikose kutujulisha tujumuike kama ilivyokuwa apo.
    mdau wa G7 unarud lin bongo?

    July 22, 2008 8:53 AM
    Anonymous Anonymous said...

    Jamani naomba kuuliza maana kuuliza si ujinga, huyu Chibiriti ndo nani?
    yani ana nafasi gani katika jamii yetu ya Tanzania?

    **Huyu kazi yake kuwasha moto, pia yeye ni mjumbe wa nanihii kule nanihii.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 22, 2008

    Duh...hilo kimbizi larudi nyumbani!!!bora umaskini nyumbani kuliko utumwa ughaibuni!!!sasa hizo dola zitamsaidia nani,au kifurushi kitapeperushwa juu ya uanasa!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 22, 2008

    Hivi Chibiriti ni twins?naona hapo nyuma kama ni pacha wake.Anyway Chibby enjoy urself bruv but usisahau condom ndugu yangu kwani bongo SI TAMBARARE KI HIVYO.Have a nice Holiday.
    Cha Chandu - UK

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 22, 2008

    who is chibiriti? wewe michuzi,you cant call someone a celebrity if they are not known..hawa ndio kina kinje,who is called a celebrity for no purpose

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 22, 2008

    MUME MTARAJIWA WA MANKA MUSHI

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 22, 2008

    we mdau wa pili hujui kusoma? "supa staa wa globu hii''.nafasi yake kwenye jamii ya kitanzania kaipata kwa kutojali watu wanachosema bali "KUWA WEWE WAKATI WOTE" " BE YOU""DO YOU".watu walikuwa wanampiga madongo sema jamaa hakujali si unajua sisi wabongo kwa kujifanya kila mtu yuko juu ya mwenzake.sema jamaa yeye anajua anacho kiitaji kwenye maisha.
    SAFI SANA CHIBIRITI MWENDO HULE HULE WA KUKAMILISHA MALENGO YAKO.MUNGU AKUBARIKI.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 22, 2008

    Unayesema Bongo tambarare hujui unachosema. Tembelea nchi za wengine ujue dunia ilivyotuacha. Kumbuka kwa kila kigezo tuko kwenye kundi la mwisho mkiani mwa duniani. Tunahitaji kufanya kazi kwa juhudi na siyo kujidanganya kuwa Bongo ni tambarare.

    Pili, Chibiriti, wewe ni star kwa kiwango chako wasikutishe wenye wivu. Naomba kufahamu, je, jina lako la kwanza ni Baraka? Je, wewe ni dini gani? Naomba usijisikie vibaya kunijibu, najisikia kukuzimia, sitanii.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 22, 2008

    vipi michu mechi ya nusu fainali ya simba apr haijakwisha kwani tunasubili matokeo

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 22, 2008

    Chibiriti ni raia wa Tanzania ambaye amejitahidi kutafuta umaarufu usio na base yeyote kwa kutumia mgongo wa Blog hii!! Nafikiri swali lako limejibiwa mdau hapo juu.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 22, 2008

    honestly we mr. michu..huyu jamaa mbona unampamba hivyo?? sioni haja ya ku-"shove" his personal life into our faces kila aki fanya move huyo chibirit....na wewe Chibiriti...tafuta hobby, kazi something...personally tumekuchoka na issue zako. mbona imekuwa tabu basi....

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 22, 2008

    Mbona umeshuka bongo peke yako. Yule my gal wako umemwachia nani? Vacation mwenyewe uchoyo huo

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 22, 2008

    hahahahahahah Nafurahi sana kijana nadhani unataka kujuwa narudi lini. well nitarudi hivi karibuni. Nilirudi december mpaka january 26th 2008 but usikonde kwani narudi sio mbali kati ya september na december itategemea na project ambazo namalizia.
    Nawashauri wenzangu ambao mumemaliza yaliyowaleta murudi home. haipendezi pale umemaliza shule na kufaulu vizuri halafu unabakikimtego(nadhani naeleweka hapa).
    Tukirudi home tukabuni na kuonesha kile tulichokipata kivitendo ninaamini kwamba tutasaidia hata kupiga kelele za maana dhidi ya tunayoyaona mabaya.
    Sipendi niseme sana mambo ya jandoni lakini message sent wazee.

    G7
    UK

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 22, 2008

    kaka michuzi vipi bwana mbona hutupi mpya...manake nasubirio matokeo ya game za nyumbai hubandiki...ila ingekuwa nanihii kacheza hapa naoana tungewekewa kila kitu

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 22, 2008

    Ni mdau wa blog hii na mtanzania mzalendo anaye wakilisha vijana waliokimbia nchi kutokana na ukali wa maisha.

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 23, 2008

    Hahahahahaha, ama kweli hata kama siku yako ilikuwa nzito, ukipitia mtaa huu wa blog ya jamii, lazima itakuwa nyepesi kwa vichekesho na burudani mwanana huku at the end of the day, messege inakuwa sent!
    Nimefurahishwa na baadhi ya wadau ambao daima huwa hawakosi cha kukosoa kuhusu Chibiriti...., pia nimefurahishwa sana na G7, yeye anasema MURUDI nyumbani....huyu sijui ni mtu wa wapi,maana hapo ilibidi aseme mrudi...
    Mwingine aliyenimaliza na kunifanya nikaiangalie picha vzr, ni aliyeuliza kama Chibi ni twin...aisee kweli bwana hebu angalia picha ya huyo jamaa nyuma yake, yaani ni copy right! Na aliyenimaliza ambaye nae basically ni mchokozi tu, anasema kupokelewa huwa bandarini, airport nk...sasa inamaana Chibi anapokelewa kwenye Bar tu?hahahahahahaa, hakika ni burudani tupu, Hongera Chibi kwa kukumbuka nyumbani, nasi tutafuata nyayo zako!!Vakesheni njema!!

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 23, 2008

    Ndugu wazee nimekosolewa na mtu wa bara (mbali na pwani) kuhusu neno murudi. anataka nitumie mrudi. tafadhali namuomba asome kamusi ya kiswahili vizuri.
    kifupi neno mrudi linatokana na neno rudi. so singula utaunganisha na neno u-rudi, prural lazima liwe mu-rudi. sio mrudi-kwani hili linamaana ya muonye kama sikosei.

    naweka wazi hapa watu ambao kiswahili mumejulia shule mujifunze.
    murudi { English: provided that } [derived: mradi] [Terminology: poetic]
    conjunction , [ photos: upload ]

    1 distinct result returned.


    --------------------------------------------------------------------------------
    The term that you searched for, murudi, may be a conjugated verb. We have analyzed your search term and have found the following possible result(s):
    Solution 1:
    Verb: -rudi
    Subject: m - you (plural)
    Tense: polite command
    Object: u - it (class 3 11 or 14)


    -rudi { English: come back }
    verb , [ photos: upload ]
    Swahili Example: rudi kutoka safari
    English Example: come back from a journey.

    -rudi { English: correct }
    verb , [ photos: upload ]
    Swahili Example: Baba alimrudi mwanawe kwa kosa
    English Example: the father corrected his child because of a mistake

    -rudi { English: find fault }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: give back }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: reply }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: reprove }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: respond }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: return } [derived: Arabic]
    verb , [ photos: upload ]
    Swahili Example: Amerudi nyumbani kwa sababu mamake anasikia mgonjwa.
    English Example: She has returned home because her mother feels sick.

    -rudi { English: send back }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: take back }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: shrink }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: go back }
    verb , [ photos: upload ]
    Swahili Example: Siwezi kurudi nyumbani peke yangu
    English Example: I can't go back home alone


    --------------------------------------------------------------------------------
    Entry is rudi - this headword has not been grouped
    --------------------------------------------------------------------------------

    Solution 2:
    Verb: -rudi
    Tense: command with object
    Object: mu - him her or it (for people or animals)

    -rudi { English: come back }
    verb , [ photos: upload ]
    Swahili Example: rudi kutoka safari
    English Example: come back from a journey.

    -rudi { English: correct }
    verb , [ photos: upload ]
    Swahili Example: Baba alimrudi mwanawe kwa kosa
    English Example: the father corrected his child because of a mistake

    -rudi { English: find fault }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: give back }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: reply }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: reprove }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: respond }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: return } [derived: Arabic]
    verb , [ photos: upload ]
    Swahili Example: Amerudi nyumbani kwa sababu mamake anasikia mgonjwa.
    English Example: She has returned home because her mother feels sick.

    -rudi { English: send back }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: take back }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: shrink }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: go back }
    verb , [ photos: upload ]
    Swahili Example: Siwezi kurudi nyumbani peke yangu
    English Example: I can't go back home alone


    --------------------------------------------------------------------------------
    Entry is rudi - this headword has not been grouped
    --------------------------------------------------------------------------------

    Solution 3:
    Verb: -rudi
    Subject: m - you (plural)
    Tense: subjunctive
    Object: u - it (class 3 11 or 14)

    -rudi { English: come back }
    verb , [ photos: upload ]
    Swahili Example: rudi kutoka safari
    English Example: come back from a journey.

    -rudi { English: correct }
    verb , [ photos: upload ]
    Swahili Example: Baba alimrudi mwanawe kwa kosa
    English Example: the father corrected his child because of a mistake

    -rudi { English: find fault }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: give back }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: reply }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: reprove }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: respond }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: return } [derived: Arabic]
    verb , [ photos: upload ]
    Swahili Example: Amerudi nyumbani kwa sababu mamake anasikia mgonjwa.
    English Example: She has returned home because her mother feels sick.

    -rudi { English: send back }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: take back }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: shrink }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: go back }
    verb , [ photos: upload ]
    Swahili Example: Siwezi kurudi nyumbani peke yangu
    English Example: I can't go back home alone


    --------------------------------------------------------------------------------
    Entry is rudi - this headword has not been grouped
    --------------------------------------------------------------------------------

    Solution 4:
    Verb: -rudi
    Subject: m - it (someplace inside)
    Tense: subjunctive
    Object: u - it (class 3 11 or 14)

    -rudi { English: come back }
    verb , [ photos: upload ]
    Swahili Example: rudi kutoka safari
    English Example: come back from a journey.

    -rudi { English: correct }
    verb , [ photos: upload ]
    Swahili Example: Baba alimrudi mwanawe kwa kosa
    English Example: the father corrected his child because of a mistake

    -rudi { English: find fault }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: give back }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: reply }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: reprove }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: respond }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: return } [derived: Arabic]
    verb , [ photos: upload ]
    Swahili Example: Amerudi nyumbani kwa sababu mamake anasikia mgonjwa.
    English Example: She has returned home because her mother feels sick.

    -rudi { English: send back }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: take back }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: shrink }
    verb , [ photos: upload ]

    -rudi { English: go back }
    verb , [ photos: upload ]
    Swahili Example: Siwezi kurudi nyumbani peke yangu
    English Example: I can't go back home alone


    --------------------------------------------------------------------------------
    Entry is rudi - this headword has not been grouped
    --------------------------------------------------------------------------------

    Would you like to modify this search?

    Search for entries beginning with "murudi" with a (*) like this: murudi*
    Search for entries containing "murudi" with surrounding (*)s like this: *murudi*
    Search the English-Swahili dictionary for "murudi"

    G7
    UK

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 23, 2008

    sio siri napenda kukutana na Chibiriti hapa Dar Celeb Chibiriti tuwasiliane kupitia mpendakeroro@yahoo.com

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 23, 2008

    Yaani Wewe Anon ambaye humjui Chibiriti inaonekana ndo kwanza unaanza kutembelea "Globu"hii ya Jamii!! Anyway, Karibu kwa Mtandao.

    Huyu Chibiriti aliweka Picha yake na mke wake mrembo miezi michache iliyopita..........Baba Chibiriti umekuja naye? Mbona simuoni hapo kwenye Picha? Hata kama ni Bibi wewe mlete tu!! Nyumbani ni Nyumbani Baba!!!!!

    Ni Hayo tu!!

    Junior-Bunda

    ReplyDelete
  28. AnonymousJuly 23, 2008

    Bro Misupu-huyu chibiriki ni mwanao wa siri nini-mbona unampamba hivyo?

    Karudi kimoja au kutembea?
    Hongera Chib-endeleza Libeneke huko.

    ReplyDelete
  29. AnonymousJuly 23, 2008

    Wote mnaosema wa2 warudi nyumbani nyie wengine mnakaa dar kwenu mbeya ila una miaka 10 ujaenda kusalimia sasa kuna tofauti gani.acheni majungu saa zingine wakirudi bongo wanakua mafisadi bora wakae huko huko.

    ReplyDelete
  30. AnonymousJuly 23, 2008

    Nyuma ya chibiriti namuona Michuzi JNR au?

    ReplyDelete
  31. AnonymousJuly 23, 2008

    Mi nipo tuuu....Labda mniuwe.

    ReplyDelete
  32. AnonymousJuly 23, 2008

    Tena kuhusu watu kutoka mbeya na kungangania Dar, Serikali ina mpango wa kuweka Gate pale Chalinze na mtu lazima aonyeshe Kibali cha anakuja kufanya nini Dar la sivyo unarudishwa ulikotoka

    ReplyDelete
  33. AnonymousJuly 24, 2008

    Peleka dictionary yako chooni dictionary kaandika mzungu asiyejua kiswahili neno sahihi ni mrudi sawa wewe mkongo?

    ReplyDelete
  34. AnonymousJuly 24, 2008

    Tatizo lako wewe unachanganya uhalali wa neno na jinsi linavyotamkwa.
    jaribu kulitumia kwenye maneno mengine mfano: mu-ende. sio m-ende. mu-lale sio mlale. mu-tasikia, mu-tapata, mu-tataarifiwa.
    nashangaa nineno ambalo ni rahisi sana na haitakiwa kuwa na degree kulijuwa.
    Kamuulize mamayo atakufunza tena lugha.

    ReplyDelete
  35. AnonymousJuly 24, 2008

    duh yaani huyo "celebrity" amechoka jamani. yaani kama Michuzi usingesema "aliyechuchumaa" wala nisimtambua huyo Chibiriti. Kwakweli wala hatuwakilishi tulio nje ya nchi. halafu hiyo ni smile au?

    ReplyDelete
  36. AnonymousJuly 24, 2008

    safi sana bro chibi mwana wa chibiriti mie namaindi sana staili yako ya maisha, wengi wanaoponda humu hawakujui vizuri hebu nendeni pale www.fotobaraza.ning.com mkaone profile ya chibiriti na mapicha kibao aliopiga akiwasaidia watu wasiojiweza ingawa yeye nae hana kiotu lakini anasaiodia kile alichonacho

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...