Vipi mzee wa Libeneke, pamoja na kunibania habari zangu Mbili moja ya rafiki yangu tulisoma nae mtaalamu wa kuiba machungwa ya shule, na story nyingine ni Mabilionea Duniani ambazo zote haukuzitoa, anyway inawezekana una mamabo mengi sana kutoka kwa watu tofauti tofauti ndio maana umeshindwa kutoa hata hivyo naamini kuna siku utanibandikia.

HAPA NINA HII NYINGINE KUNA DOGO YUPO HUKU UK NI CHINGA WA MASASI, BWANA MDOGO AMBAYE ANACHEZA MPIRA KWA KIWANGO AMBACHO SI CHA KAWAIDA, TAYARI AMESHAVIZIWA NA TIMU KUBWA, ANGALIA HIYO WEB.

ASANTE.
MDAU UK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2008

    Wapi kwenye hii link inaonyesha dogo ni Chinga wa Masasi? Nimeangalia Video Clip sikusikia hicho kitu. Ingawa Inglish yangu not reachable, neno Masasi ningelisikia. Ufafanuzi tafadhali.

    Mdau toka CHIKUKWE -Masasi

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 07, 2008

    Bado safari ndefu. So far katika hiyo timu ni John Terry tu aliyetokea Youth Academy.
    Lazima kupiga polish buti la Deco

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2008

    Naweza kusema dogo kapiga hatua kubwa, at the age of 13 una sign na hao jamaa future imekaa vizuri. nimesoma habari yake kidogo na dogo ametua UK miezi 7 tu iliyopita kutoka bongo na tayari kashaonyesha kiwango.
    chek hapa http://www.basingstokegazette.co.uk/mostpopular.var.2365867.mostviewed.blue_is_the_colour_for_schoolboy_hotshot.php

    Mdau.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...