after

before

Michuzi,

Mimi ni mdau Mzuri sana wa blog yetu ya jamii. Asalaam aleikum.

Nilikuwa katika safari zangu za off -road kwenye holiday ya sabasaba huko Udzungwa, nilikumiss sana, so i started to get creative. Enjoy the attached pictures.

Mdau Sayed

Mdau Sayed!
asante sana. nimeguswa sana kwa ujumbe wako huu mwanana. kwa kweli umenipa furaha na faraja kubwa kwamba wadau mnaendeleza libeneke la globu hii ya jamii hata mkiwa mbali na mtandao. nashukuru sana sheikh!
-Michuzi

ao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...