dj bonny luv (kulia) akimalizia hasira zake kwa kurusha watu majoka ukumbi wa safari club huko washington dc baada ya kwikwi iliyotokea kwenye oldskool party kule columbus ohio
wadau wakiruka majoka ya bonny luv
usikonde mwanangu, ndiyo maisha... anaambiwa mix master dj luke (kulia) wakati wa bash la bonny luv. furaha aliyonayo dj luke kwa kuona wadau walivyoridhika haina haja ya kuelezea
safari club huko washington dc palikuwa hapatoshi kwa jinsi bonny luv alivyofanya kufuru
hakuna aliyekumbuka kukaa siku hiyo...
wadau wa washington dc na vitongoji vyake wakiruka majoka kwa hasira baada ya kwikwi ya columbus. habari toka huko zinasema wengi wa wadau hawa, ambao walihudhria oldskool party ile waliondoka safari club wakiwa wameridhika na kuwasamehe waandaaji, pamoja na onyo kali kwamba siku ingine wasilete masikhara kama yale tena. na waandaaji wa oldskool, ambao wameshakkiri makosa yao na kuomba msamaha, wanasema yaliyopita si ndwele na kosa ni kurudia kosa, jambo ambalo wameapa halitotokea kamwe. kwa mujibu wa uchunguzi wa globu hii ya jamii, kwikwi ya oldskool party ilitokana na waandaaji kutotegemea umati mkubwa wa wadau kama uliojitokeza siku hiyo, kwani walitegemea kupata watu 500 wakaja mara nne zaidi!



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2008

    mdebwedo tu hamna nyomi ka la columbus

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2008

    Mbona hapo safari kwenyewe hapavutii.!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2008

    Si lolote si chochote.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 17, 2008

    mmmh! watu wazima ovyo

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 17, 2008

    Nakuona Bonny 'Ol skool', MA MAN, wsup bway!

    Idea nzuri sana, dont mind playahaterz, si unajua waosha vinywa. Point is this tho: Kenyan Djs wametoboza sana maeneo ya mbele, wanapiga show na kuwarusha wana kiuhakika kuanzia maState mpaka maUK, and they make a lota dough, machizi wanaishi vizuri sana...Why not nyie Wabongo?

    Pigeni ma-tour mkawakumbushe wadau nyumbani...investini kwenye fani yenu, sio mnakaa tu vijiweni Bongo hapa kuombaomba mashavu ya catwalk na album launches.

    Bonny Bigup mwana, One!
    Mwana

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 17, 2008

    Nimegundua kitu Tanzania waishio marekani aswa wanawake ni wanene compare na waliyopo nchi nyingine pleaseeeeeeeee we need health visitors jamani wapite mji hadi mji

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 17, 2008

    mbona sioni Panya waliopo kwenye hii club/restaurant.Ebwana eeh hiki kiota kimejaa panya kibao.Kuna siku nilikuwa nakula mlo hapo Safari kufumba na kufumbua Panya kama sita walikuwa wananivuta suruali wananigongea niwadondoshee msosi.Wamiliki wa Safari wanatakiwa ku-remodel hiyo club.
    Halafu ina maana DC nzima kuna clup moja tu ambapo Watz or E.africans wanaweza kufanyia sherehe zao?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 17, 2008

    Wataachaje kunenepa wakati wanashinda wanakula junk foods?

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 17, 2008

    waambie waje kwenye mkutano wa maendeleo au Tanzanians proffesionals in the city, hawaji hata mmoja, ujinga mtupu, hakuna akili hata kidogo.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 17, 2008

    we anon 9:48 wewe ndio ovyo

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 17, 2008

    lakini kweli inatia aibu safari ni ukumbi wa ovyo sana. Ni ukumbi wa hali ya chini zaidi kupita hata za TZ. Kuna vijingazi unapanda hapo juu halafu kuna kijicounter cha baa upande mmoja upande mwingine ndio kasehemu kadogo ka muziki. Chini kuna kijihotel ndogo changanya harufu ya chapati, samaki na ugali mpaka huko juu. Sio sehemu ya mtu na heshima zako utajipeleka. nadhani umefika kwa watu kutafuta kumbi zinazoeleweka.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 18, 2008

    Ombey sikuoni hapo ulichelewa nini? maana naona ohio soko lilichina,ukafikiri d.c utauza,wamekuchoka hapa mjini weweeee,kawauzie kigilagila huko.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 18, 2008

    Wabongo Bwana!
    Always Critisizing. Always putting each other down. We must be cursed. Let's be positive hata kama ni something small... step by step the dreams will come alive.

    A nation with a large percent of HATERS is not healthy at all. Lazima tujifunze kuwa positive na ata kama tukiona kitu kibovu, lets offer constructive criticism.

    Life can not be that BAD if you have access to post rubbish on this BLOG.

    Bonnie Luv - YOU DO YOU! We will support you.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 18, 2008

    Jina moja kwa watu wa USA obese! aisee hawa watu ni wanene hivi kweli serikali ya huko haioni umuhimu wa kuelimisha lishe bora ili kupunguza maradhi kama UK.Uk kila taasisi inatoa facilities ili kupunguza ongezeko la watu wanene siju kwa nini Bw Kichaka hajifunzi toka kwa mwenzie Gordon. Na nyie wabongo mnanenepeana tu mnadhani ni afya, amkeni, eat healthy meals and do lots of exercise msijiachie hivyo mnajaza maradhi na hata health insurance zenyewe hamna huko USA

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 18, 2008

    Huo unene watapata tu matokeo yake soon.....kama hao madada dah !!!!kichefuchefu tupu!!!!
    Bon Luv mzuka baab!!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 19, 2008

    UTAFIRI UWANJA WA FISI, SIJI MAJUU KAMA KUMBI ZENYEWE NDIYO HIZO.

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 20, 2008

    binadamu kwele aibu ndio hamna mko tayari ku critizise sehemu , mbona hamja jenga zenu bado mna beba mabox na hauna chochote.Kama uliwaona hao panya lazima na uchafu wako ulikuja nao dhidi ya hao kujininginiza kwenye suruali yako da!!!. sehemu hii ime walisha hata mayor wa dc aibu kusema eti mtu wa heshima zake hawezi kuenda sehemu hii jamani ndugu zetu wacheni kuwa haters kwasababu hauja fanya chochote na maisha yako jenga yako na tafadhali wacha panya wako nyumbani.Wivu ni mbaya ndugu yangu hautafanikiwa na uta konda bure.Wale wanao nona raha ni yao waki konda mnasema wana ngono waki nona bado ina wakera nona pia wacha wivu za kupumbavu kuwa na jenga sehemu yako sawa!!!!!!!!!!!! Asante safari dc sehemu hii sio club tuu imewasaidia wa east africa wengi sana hata hao wa kubeba panya kwenye suruali zao wengi wenu wakati mna shida misiba mnakimbilia pale na sasa na wengine bila aibu wacha wivu jamani kama ile sehemu inakukera shinda nyumbani.isaa michuzi asante.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...