Home
Unlabelled
dj bonny luv amalizia hasira safari club washington dc
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mdebwedo tu hamna nyomi ka la columbus
ReplyDeleteMbona hapo safari kwenyewe hapavutii.!!!!
ReplyDeleteSi lolote si chochote.
ReplyDeletemmmh! watu wazima ovyo
ReplyDeleteNakuona Bonny 'Ol skool', MA MAN, wsup bway!
ReplyDeleteIdea nzuri sana, dont mind playahaterz, si unajua waosha vinywa. Point is this tho: Kenyan Djs wametoboza sana maeneo ya mbele, wanapiga show na kuwarusha wana kiuhakika kuanzia maState mpaka maUK, and they make a lota dough, machizi wanaishi vizuri sana...Why not nyie Wabongo?
Pigeni ma-tour mkawakumbushe wadau nyumbani...investini kwenye fani yenu, sio mnakaa tu vijiweni Bongo hapa kuombaomba mashavu ya catwalk na album launches.
Bonny Bigup mwana, One!
Mwana
Nimegundua kitu Tanzania waishio marekani aswa wanawake ni wanene compare na waliyopo nchi nyingine pleaseeeeeeeee we need health visitors jamani wapite mji hadi mji
ReplyDeletembona sioni Panya waliopo kwenye hii club/restaurant.Ebwana eeh hiki kiota kimejaa panya kibao.Kuna siku nilikuwa nakula mlo hapo Safari kufumba na kufumbua Panya kama sita walikuwa wananivuta suruali wananigongea niwadondoshee msosi.Wamiliki wa Safari wanatakiwa ku-remodel hiyo club.
ReplyDeleteHalafu ina maana DC nzima kuna clup moja tu ambapo Watz or E.africans wanaweza kufanyia sherehe zao?
Wataachaje kunenepa wakati wanashinda wanakula junk foods?
ReplyDeletewaambie waje kwenye mkutano wa maendeleo au Tanzanians proffesionals in the city, hawaji hata mmoja, ujinga mtupu, hakuna akili hata kidogo.
ReplyDeletewe anon 9:48 wewe ndio ovyo
ReplyDeletelakini kweli inatia aibu safari ni ukumbi wa ovyo sana. Ni ukumbi wa hali ya chini zaidi kupita hata za TZ. Kuna vijingazi unapanda hapo juu halafu kuna kijicounter cha baa upande mmoja upande mwingine ndio kasehemu kadogo ka muziki. Chini kuna kijihotel ndogo changanya harufu ya chapati, samaki na ugali mpaka huko juu. Sio sehemu ya mtu na heshima zako utajipeleka. nadhani umefika kwa watu kutafuta kumbi zinazoeleweka.
ReplyDeleteOmbey sikuoni hapo ulichelewa nini? maana naona ohio soko lilichina,ukafikiri d.c utauza,wamekuchoka hapa mjini weweeee,kawauzie kigilagila huko.
ReplyDeleteWabongo Bwana!
ReplyDeleteAlways Critisizing. Always putting each other down. We must be cursed. Let's be positive hata kama ni something small... step by step the dreams will come alive.
A nation with a large percent of HATERS is not healthy at all. Lazima tujifunze kuwa positive na ata kama tukiona kitu kibovu, lets offer constructive criticism.
Life can not be that BAD if you have access to post rubbish on this BLOG.
Bonnie Luv - YOU DO YOU! We will support you.
Jina moja kwa watu wa USA obese! aisee hawa watu ni wanene hivi kweli serikali ya huko haioni umuhimu wa kuelimisha lishe bora ili kupunguza maradhi kama UK.Uk kila taasisi inatoa facilities ili kupunguza ongezeko la watu wanene siju kwa nini Bw Kichaka hajifunzi toka kwa mwenzie Gordon. Na nyie wabongo mnanenepeana tu mnadhani ni afya, amkeni, eat healthy meals and do lots of exercise msijiachie hivyo mnajaza maradhi na hata health insurance zenyewe hamna huko USA
ReplyDeleteHuo unene watapata tu matokeo yake soon.....kama hao madada dah !!!!kichefuchefu tupu!!!!
ReplyDeleteBon Luv mzuka baab!!!
UTAFIRI UWANJA WA FISI, SIJI MAJUU KAMA KUMBI ZENYEWE NDIYO HIZO.
ReplyDeletebinadamu kwele aibu ndio hamna mko tayari ku critizise sehemu , mbona hamja jenga zenu bado mna beba mabox na hauna chochote.Kama uliwaona hao panya lazima na uchafu wako ulikuja nao dhidi ya hao kujininginiza kwenye suruali yako da!!!. sehemu hii ime walisha hata mayor wa dc aibu kusema eti mtu wa heshima zake hawezi kuenda sehemu hii jamani ndugu zetu wacheni kuwa haters kwasababu hauja fanya chochote na maisha yako jenga yako na tafadhali wacha panya wako nyumbani.Wivu ni mbaya ndugu yangu hautafanikiwa na uta konda bure.Wale wanao nona raha ni yao waki konda mnasema wana ngono waki nona bado ina wakera nona pia wacha wivu za kupumbavu kuwa na jenga sehemu yako sawa!!!!!!!!!!!! Asante safari dc sehemu hii sio club tuu imewasaidia wa east africa wengi sana hata hao wa kubeba panya kwenye suruali zao wengi wenu wakati mna shida misiba mnakimbilia pale na sasa na wengine bila aibu wacha wivu jamani kama ile sehemu inakukera shinda nyumbani.isaa michuzi asante.
ReplyDelete