waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais (mazingira) dk. batilda buriani akioneshwa vifaa vinavyotumia nishati ya jua vilivyotengenezwa na veta
dk. buraini akiamwangalia fundi ambaye ni mlemavu akichonga vyuma mbalimbali
dk. buriani akiangalia mashine ya kukata na kupindia mabati iliyotengenezwa na veta

juu na chini dk. buriani akiangalia mashine ya kisasa ya kuatamia mayai iliyoiundwa na mwalimu kalambo wa chuo cha elimu kibaha. mashine hii ya kipekee ni moja ya vivutio vikubwa banda la veta ila tatizo mbunifu huyu anakwazwa na urasimu wa kuweza kuzitengeneza kwa wingi na kupata soko la ndani na nje kwani huatamia mayai zaidi ya 3,000 kwa wakati mmoja na kwa usalama wa hali ya juu ambapo toka sabasaba ianze vifaranga zaidi ya 6,00o vilizalishwa na ni vichache mno vilivyokufa. wadau biashara hiyo jamaa yuko tayari kufanya kolabo na yeyote




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 08, 2008

    Sweetie Buriani - hubadiliki hata! Big up bwana - roho yako toka shule iko pale pale - Mungu akuzidishie Batilda na akuongoze daima. Wonder where best wako Vickie Marealle yuko? Roho zenu nzuri za upendo ni za pekee.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...