bosi wa masoko wa tigo kelvin twissa (shoto) akiwa na baadhi ya wadau wanaofurika kila siku kwenye tigo le' night clube iliyo viwanja vya sabasaba. kama kawaida yake tigo imepiga bao lingine na usistaajabu watani wa jadi kuiga huko mbeleni. chini ni jinsi club hiyo ambayo kila jioni kuna myuzik na vilaji na promosheni kibao zenye kutema mazawadi. wa nyuma ni dj venture aliyeimbwa na mangwea kuwa ana 'bati' wakati wa mtoko. mwengine ni mmoja wa waasisi wa bongo fleva aliyekuwa kundi moja na akina marehemu nigga one


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hili kweli bao la kisigino.. Wapinzani inabidi wafanye kazi ya ziada kuwakamata Tigo maana wanawapita kama wamesimama vile! Tigo is hitting them real HARD!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2008

    TIGO GOOOOOOOOOOO!!!!!!!!! EXELLENT!!!! WELL DONE YAAN INAONEKANA MAKERTING MANAGER WAO MZURI SANA SAFI SANA ...I LIKE IT.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 06, 2008

    neno "mbeleni" ni matusi! tafadhali tumia neno linalofaa

    ReplyDelete
  4. Ebwana kaka michuzi,hii ni mara yangu ya kwanza kutuma maoni hapa ndani ya blog ya jamii ila ni mfuatiliaji mzuri mnooo.nashkuru kwa hii nafasi,napenda kufafanua jina la huyo ambae hukumtaja juu ya hii picha ni Fresh G toka KWANZA UNITY kundi lililowakilisha Hip Hop Tanzania na nje ya Tanzania pia wakiwemo Rhymeson,Kibacha. D-Rob Nigga one (R.I.P)
    si vibaya wadau wa Hip Hop Tanzania tukautambua mchango wa hawa kaka zetu, pasina kusahau mchango wa Dj Venture Big up sana bro,
    pa1...
    Kwa jina mimi ni Tuma Maoni aka Majukumu

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 07, 2008

    Big ups Kelvin Twisa. Kelvin ni mtu wa ku think big always. Nina uhakika he will change the way we do business back home.

    Nina uhakika Kelvin Twissa ndio one the future business leaders nchini kwetu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 07, 2008

    Mimi naona too much credit inakwenda kwa Kelvin Twisa...lakini sithani kama anastahili credit zote (najua mtaniona nabana)...uongozi wa juu wa Tigo unastahili credit sana maana wao wasingethamini mawazo na uhuru wa timu ya Kelvin Twisa sithani kama haya anayoyafanya yangewezekana.

    Marketing Managers wa makampuni mengine kama Celtel, Vodacom, Cocacola, TBL ext hawana uhuru alionao Kelvin katika kufanya promotion ya bithaa zao....ndio maana hawaonekani kughara kama anavyoonekana Kelvin. Hilo ni moja la pili, Michuzi anampa nafasi Kelvin kwenye hii blog kwa sababu mbalimbali mojawapo ni kwa sababu Tigo ndio Main Sponsors wa hii blogu (sorry Bro Michuzi).

    That said, Kelvin is doing a good job...but Tigo (company as a whole) they need to do more on improving Customer Service and Quality of Service the offer.

    Mdau UK.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 07, 2008

    Mdau UK!

    umechemsha kwanza kabisa kwa kusema 'unathani' badala ya unadhani. pili umeseme 'mimi naona', wewe??? wewe nani kwani. huna haya! Yaani u wanna sound authoritative, wakati huna unalolijua.

    Kwanza ngoja nikupashe. Sio kweli kwamba hizo kampuni, ambazo bila shaka zimekutuma kutaka kumpaka Kelvin na kumshusha (jambo ambalo katu huwezi, jamaa yuko juu, panda ngazi mfuate) haziwapi uhuru watu wake wa masoko. ni ubinifu tu ndio unaowashinda kaka/dada.

    Halafu huyo Michuzi wa watu wala usitake kumuonea. Mapicha mangapi ya makampuni pinzani ya Tigo tumeyaona humu. Yeye anaweka kinachouzika, na sio kinachoboa. Kama wao hawana kitu exiting na unique unatakaje? Achana na Michuzi kabisa, tena ukome. Kwanza Tigo sio main sponsor. Unahitaji miwani; ni mmoja wa ma-sponsor, hiloooooo.

    Halafu cheki ulivyo mnafiki. Kama kweli uko UK unajuaje ya huduma za Tigo na nyinginezo? ovyooooooo

    Ushauri wa bure kwa haters kama wewe - fanyeni yenu tuone ili kama sifa tuwape. Hao uliowataja wataendelea kupigwa bao na Kelvin na wewe utaendelea kulia na kusaga meno kwa wivu. Jamani msiwe kutwa kucha kutafuta wachawi wakati nyie wenyewe hata kujaribu hamjajaribu.

    Go Kelvin go! Go Tigo goooo!

    Wenye wivu wajinyonge sana, eee wenye wivu wajinyomnge mamaa... kaimba saida karoli. Na wewe ngoja nikutafutie kamba ya katani...

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 07, 2008

    Wewe uliyemjibu Mdau UK hapo juu.

    Inaonyesha dhahiri kuwa leo umeweza kupata Shs 500 ya kwenda cafe kutumia komputa na matokeo yake kuja kuchafua hali ya hewa humu. Hongera sana umetuonyesha pia kuwa unajua kutumia keyboard. Ila umetukitisha kuwa hujui kusoma na kuelewa kilichoandikwa na Mdau UK. Zaidi ya hilo umeonyesha pia ni jinsi gani unajipendekeza kwa Kelvin Twissa.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 08, 2008

    Mbona watu mnaanza kujitafutia "Cheap Publicity"? How come mnajifanya kujua mambo ya kitendaji ya mwajiriwa wa TIGO kama si wewe mwenywe ndio unajiandikia kujitafutia misifa?

    We are not fools enough to be fooled this way!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...