Mheshimiwa Mkuu wa Kaya,
Kwa muda wa miaka kadhaa Dr. Ferdinand Masau ambaye ni tabibu ya magonjwa ya moyo na miongoni mwa madaktari wachache wapasuaji wa moyo, amekuwa akigongana na serikali na Wizara ya Afya kuhusu nafasi ya taasisi yake katika eneo la tiba nchini.
Zaidi ni jinsi gani taasisi hiyo inaweza kufanya kazi yake kwa ufanisi, kwa uwazi, na kutoa huduma hii adimu na adhimu nchini.
Masaa machache baada ya kumaliza mkutano wa mambo ya Moyo jijini Dar wiki iliyopita, Dr. Masau na watanzania wengine walisoma habari za shirika la NSSF kumpiga mkwara wa kumpa siku nne kuondoka kwenye majengo yao kwa kushindwa kulipa pango na hivyo yeye na wagonjwa wake wafanye mipango ya kuondoka.
Huo nao ni mfululizo tu wa mambo mengi ambayo yamekuwa yakimuandama tangu aamue kurudi nyumbani kuleta huduma hii baada ya kujifunza na kufanya kazi chini ya Dr. Cooley, yule daktari wa kwanza wa Kimarekani kufanya pandikizi la moyo kwa mwanadamu (heart transplant) na ambaye ni mshindi wa Nishani ya Uhuru ya Rais wa Marekani.
Ni kutokana na jinsi ambavyo KLHN imekuwa ikifuatilia suala hili kwa miaka miwili sasa hatimaye tutapata nafasi ya kuzungumza na Dr. Masau hewani kesho kuanzia saa sita na nusu za mchana (EST) sawa na Saa moja na nusu za jioni EAT (-5GMT)
Wote mnakaribishwa kusikiliza mahojiano hayo ambayo yatafanyika kupitia KLH News.
Please check your facts about who was the first American Dr to perform human heart transplant
ReplyDeleteLook at what I found from USAtoday
http://www.usatoday.com/news/health/2006-02-10-shumway_x.htm
Follow this link to read about Cooley
http://www.achievement.org/autodoc/page/coo0bio-1
Dr Masau ungebaki tu USA (H-town) wengi hawajapenda mambo yako wanaona kama unawazibia vile.
ReplyDeleteMwanakijiji au Lula Mwananzela kama unavyojiita kule kwenye gazeti la raia mwema.
ReplyDeleteni vyema mahojiano uyafanye pande mbili. umeelekeza nguvu zako na ushawishi kuwa DR.Masau kaonewa.katika mahojiano yako naomba uwape nafasi na NSSF nao tuwasikie.
kwani hatujui umefanya mahojiano haya kama mwandishi au kama mtu mwenye interest na DR.Masau.
sasa kama alikuwa na daktari bingwa wa kimarekani kwanini hakumuomba huyu mmarekani amjengee jengo lake?pia hiyo hospital tunalipia kwanini asilipe pango?
huyu no tapeli tu arudi marekani madaktari tunao wengi sana.
kwa hiyo na wewe ukirudi toka marekani ukifungua studio zako tusikudai kodi kwa vile umerudi na ujuzi wa KLHNEWS na umejifunza kwa LARRY KING wa CNN.
kwa taarifa yako studio ya Michuzi iko NSSF na analipa kodi kama kawa. vipi mtu aliyetoka marekani hana uwezo wa kulipa kodi?.
Dawa YA DENI NI KULIPA si kuliakulia.
Lula Mwananzelu naona kwenye hili una lako si bure,umeandika makala mengi ya kumsifu bwana Masau na umekuwa ukiipalilia mada hii kwenye jamii Forum.
Kazi njema ndugu yangu.
Michuzi nasikitika na hii ta bia ya kubania watu wa copy haya maandishi kwenye blog ya jamii! Huu ni ubinafsi mkubwa ukizingatia lengo la technologia ya kisasa kufanya mawasiliano kwa urahisi.....
ReplyDeleteKaka Trio, Nashukuru kwa kujaribu kuonesha kosa. Nadhani nilipaswa kusema "iliyofanikiwa". Ila kwenye vya kwanza Shumway inasemwa.
ReplyDelete"Shumway's first transplant, the world's fourth, came on Jan. 6, 1968"
Shumway alikuwa wa kwanza kuweka moyo wa kupandikiza kwa Mbwa.
"The first successful United States heart transplant was done at St. Lukes hospital in Houston Texas by Denton Cooley, M. D. in June 1968"
so inawezekana mimi na wewe wote tuko sahihi, miye nimemtaja na historia inaonesha hivyo kuwa upandikizi uliofanikiwa wa moyo kufanywa Marekani kulifanywa na Dr. Cooley.
Nashukuru kwa kujaribu kusahihisha.
M. M.
DR. Masau hayo ndo yaliyopo huko ulikokwenda- yaani nyumbani Tanzania. Longo longo jingi mno, hasa unapofanya mambo yako kihalali bila kutoa rushwa. Wamezoea rushwa na ujanja, inavyoonekana hapo keshapatikana mtu analitaka hilo jengo kwa bei kubwa zaidi yako. Hivyo wewe na wagonjwa wako mnaweka giza tu katika mambo yao, maana wao waki-ugua au ndugu zao wanakwenda nje kwa matibabu ya moyo.
ReplyDeleteMwanakijiji Thanks for responding on my post. unfortunately I was not trying to correct you I just wanted you to check the facts! something that others call "Reality Check"
ReplyDeleteLet me quote from USAtoday "They were thunderstruck on Dec. 3, 1967 when the news broke that a South African surgeon, Christiaan Barnard, had transplanted a young woman's heart into the chest of 55-year-old Louis Washkansky. He lived for 18 days"
So that first quote from USAtoday shows the first World's Heart transplant was performed by a South African Doctor.
Here is another quote from USAToday again "Just three days after the first transplant, Adrian Kantrowitz performed the first infant-to-infant transplant at Maimonides Medical Center in Brooklyn. On Jan. 2, 1968, Barnard made headlines again, by transplanting a heart into 58-year-old Philip Blaiberg. Shumway's first transplant, the world's fourth, came on Jan. 6, 1968. His patient, Mike Kasperak, 54, lived just 15 days after the surgery."
In short the second World's Transplant was done by Dr. Adrian Kantrowitz (Infant -to- Infant Heart Transplant)
again from the same quote The south African Dr performed another Transplant - That was the third world's Transplant.
and then the fourth transplant was performed by Shumway, this was Shumway's first transplant, but the world's fourth.
Soooo by this accoun Dr. Adrian Kantrowitz was the first American to Perform human heart transplant and Shumway was the second to do the same. Later on Dr Cooley followed suite.
THAT WAS A REALITY CHECK.........
dr.masau ni tapeli kama jack Pemba aliyewatapeli TFF kwa kigezo katoka majuu.
ReplyDeleteMwanakijiji ulitaka kutudanganya amekuja TRIO kutupa rekodi sahihi. lengo la uongo wako ni kumfagilia DR.Masau vipi umechukua mshiko nini?
Naomba nitoe kutoelewana kunakoendelea hapa...(Through the following facts)
ReplyDelete1.Mwanakijiji hajatamka popote kwamba ana nia ya kumpendelea Dr MasaU, ila anatoa mtazamo kuhusu umuhimu wa huduma inayotolewa na adha ya kodi kubwa ya pango, kitu ambacho kwa mchango wa Dr Masau, hata Serikali ilibidi imuunge mkono au isaidie juhudi zake(mfano hata kwa kutoa ruzuku flani or the like), kwani ni miongoni mwa hazina chache za wasomi ambao ni msaada sana kwa taifa letu changa,ki-maendeleo.
2.Mwanakijiji hakuwa na nia ya kupotosha chochote khs Dr Cooley kwa kumtaja kuwa ni daktari wa kwanza kufanya heart transplant, ki msingi, kwa wale wanaofatilia facts through reliable sources naomba mpitie hapa(link) http://en.wikipedia.org/wiki/Heart_transplantation
Dr Cooley ni wa kwanza KATIKA MAREKANI kufanya SUCCESSIFUL HUMAN TO HUMAN HEART TRANSPLANT...
So wanajamii Naomba msome that link na muelewe ni nini kinaendelea, na naomba tujadili mada hii kwa mtazamo wa kuiangalia Tanzania na watanzania wanaosumbuliwa na matatizo km hayo, wengi wetu tunamipango mingi ya kufanya makubwa Tanzania, lakini ni vzr kuelewa hali huwa zipoje hasa inapofikia kwenye mtanzania kuleta maendeleo pasipokutoa chochote,stay focused!!
mimi sijui hio tofauti kati ya human to human na infant to infant. Kwa hivo wewe unaona wikipedia ni reliable kuliko USAtoday?
ReplyDeleteDr. Masau kama Ma DR wangine na wafanyabiashara wengine anatakiwa kulipa kodi ya pango. kama alisaini mkataba kimakosa hilo ni kosa lake, Mahakama imeamua hana budi kutii amri ya mahakama kama hariziki basi kate rufaa kwnye mamlaka zinazohusika. Caveat emptor.
DR masau should have been awaree of what he was signing before he signed the contract and moved in. Legally, I think he ought to pay that rent or get evicted.
TRIO.
ReplyDeleteSAFI SANA KUMKOMA NYANI GRADI MWANAKIJIJI AMBAYE ALIJUA WATU HAWAFUATILII.