Home
Unlabelled
jk ahudhuria mkutano wa G8 japan
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
JK Sogea nikubuthuu umebembejaaa
ReplyDeleteJk umetoka mswano mnoo ndani ya Suti.Umewapiga bao wote kwa uchangamfu na upo full confinence.
ReplyDeleteSasa tumia sababu hizo kuitangaza Tanzania na kupata wawekejaji wanao eleweka kwa miradi yao na mafanikio walioyapata na walionayo
Keep ya head up JK
lakini kusema kweli...Kikwete looks gud! He represents the way a president shld look. Hizi sio enzi za kuwa na vitambi kisa upo madarakani. Labda atafanya waTz wabadilishe mwelekeo wa kuwa na vitambi wakishashika nyadhifa fulani serikalini. Mkapa alinenepa mpk akashidwa kutembea bwana...duh...ilikuwa aibu sasa!
ReplyDeletePamoja na hayo yote...bado fisadi tu!
Nilidhani G8 ni kwa wale wenye maviwanda lukuki.Sasa sisi wabongo na vijiwanda vyetu viwili ambavyo ni spana mkononi tunakwenda huko kufanya nini?
ReplyDeleteyaani huyo Rais anapiga pamba kupita wafadhili
ReplyDeleteNinachompendea Kikwete ni hicho tu. Yeye kila kukicha yupo "on the go". Anajua kina slaaa watasemaweeeee kisha usiku watalala na wakiamka keshatimka zake yupo duniani.
ReplyDeleteRais ndio huyo mtembea bure si mkaa bure. Itangaze tanzania baba.
Hofu yangu sijui kama mabalozi wanajua kazi zao za kukutangaza na nhi yetu. Kwenye ziara kama hizi unatakiw autokeee kwney maluninga ya kimataifa na kukutana na watu kuitangaza nchi yetu si luninga ya manzese tu.
Ni kweli viongozi wetu wanajipenda sana, siyo kwenye mavazi tu lakini hata kwenye aina ya usafiri wanaotumia. Mimi binafsi kujipenda kwenye mavazi sioni shida ila nawaomba wapunguze kutumia magari ya kifari ili hizo pesa ziende kwenye miradi ya maendeleo kama barabara n.k ili tupunguze kuwa ombaomba. Wakati mwingine inauma kuona mtu anyekuja kuomba msaada na anayesema kuwa yeye ni masikini ananyuka pamba za kufa mtu na pia matumizi yake hayaonyeshi kama yeye ni masikini. Tujitahidi kidogo basi kugawana hivyo vijisenti tunavyosaidiwa na siyo kuishia kuwafaharisha watendaji wachache;
ReplyDeleteMwananchi masikini.
MKIMCHAGUA MBOWE ATAKUWA ANAVYAA YALE MANGUO YAKE YA MGAMBO MMH NISISEME SANA KIKIELEWEKA ANAWEZA AKAWA ANASHUSHA PAMBA KINOMA
ReplyDeleteYou are quiet right...commentator 12.54AM. Umenifurahisha kwani zile nguo za mgambo alikuwa anavaa siku zote au ndio danganya toto tumpe kura zetu then akiingia ikulu inakuwa zamu ya "designer suits"
ReplyDeleteThough tunapaswa kujadili mambo ya mana zaidi ya mavazi lakini mtu akijaliwa credit zake tumpe jamani sio siri Rais wetu JK ana toka bomba na hizo suti"personality matters jamani". Niko nje ya bongo basi watu nikikutana nao wakijua natoka bongo wanasema aaahhhh!! you are from the Handsome President's country. One guy once told me that I really like the appearance of ur Presidents. He has all the presidential personalities...Jamani hiyo nayo sifa eti au? .... I normally dont contribute when it comes to persons personally lakini hili la JK kutiokea bomba katika maphoto jamani ni kweli... Mvuto upo sana tu...
nimegundua watanzania wajinga baada ya kuongea mambo ya msing kuhusu uo mkutano kwa manufaa ya tz wanaongea kikwete kavaa nin,
ReplyDeleteuo ndiyo umaskin wenyewe