JK akiongea na mtoto Laika Pili(10) anayesoma katika Shule ya Msingi Mitomoni, wilaya ya Songea vijijini wakati Rais alipokwenda kukagua ujenzi wa Daraja linalounganisha nchi ya Tanzania na Msumbiji katika kijiji cha Kenda Kivukoni kata ya Mitomoni,wilaya ya Songea vijijini


JK akikagua ujenzi wa daraja linalounganisha nchi ya Msumbiji na Tanzania katika kijiji cha Mkenda kivukoni kata ya Mitomoni,wilaya ya Songea vijijini jana jioni. kulia ni mkuu wa mkoa wa ruvuma mh. monica mbega




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2008

    jamani kweli tumepata Raisi mchakarikaji,,hila wachache wanamuangusha..Hongere sana Raisi wetu mpendwa,mungu akubariki sana..Mdau Norway

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2008

    Hongera sana JK,siku 9 za Tanga tumeziona,na sasa Ruvuma+nyingine.Pole na uchovu,lakini keep it up ndiyo majukumu hayo.Baadhi ya wananchi tulishaanza kuwa na wasiwasi ati na safari nyingi za nje ya nchi.Very good,your excellency Mr.President.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 26, 2008

    Ni post nzuri. Lakini mtumaji angetunufaisha zaidi km angetuletea picha ya daraja hilo lililojengwa mpakani mwa msumbiji na Tanzania, kwani watu wanaofahamu chimbuko halisi la vita vya kupigania uhuru wa msumbiji chini ya Frelimo wanasema eneo hilo ndiko ngome halisi ya frelimo na ndiko palipopaswa kujengwa daraja la umoja, na siyo kule masasi ambako awamu ya tau ilijenga.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 27, 2008

    Mr.President,nakuomba sana uingilie kati 'ishu'ya mauaji ya ma?zerureru(albinos).Hali ni mbaya sana na inaharibu 'shepu'ya nchi yetu nzuri tuipendayo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 27, 2008

    hilo daraja siyo hadithi mpya wlituimbisha nyimbo miaka ya 70's late 70's kutoka ruvuma mpaka maputo hadi hii leo hawajalijenga daraja limeanza toka mwalimu nyerere yupo madarakani siyo kitu kipya hicho ni yale yale matatizo yetu watu wanatia ndani tu

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 27, 2008

    Hivi hili daraja la Umoja halijaisha mpaka leo?
    Nakumbuka mwaka mmoja kabla Mkapa hajaachia ngazi alitembelea hilo daraja sambamba na Gwebuza (Rais wa Msumbiji). hadi leo halijakamilika tu? au ndio mambo ya Sam Nujoma Road?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...