Home
Unlabelled
jk akiwa ruvuma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani kweli tumepata Raisi mchakarikaji,,hila wachache wanamuangusha..Hongere sana Raisi wetu mpendwa,mungu akubariki sana..Mdau Norway
ReplyDeleteHongera sana JK,siku 9 za Tanga tumeziona,na sasa Ruvuma+nyingine.Pole na uchovu,lakini keep it up ndiyo majukumu hayo.Baadhi ya wananchi tulishaanza kuwa na wasiwasi ati na safari nyingi za nje ya nchi.Very good,your excellency Mr.President.
ReplyDeleteNi post nzuri. Lakini mtumaji angetunufaisha zaidi km angetuletea picha ya daraja hilo lililojengwa mpakani mwa msumbiji na Tanzania, kwani watu wanaofahamu chimbuko halisi la vita vya kupigania uhuru wa msumbiji chini ya Frelimo wanasema eneo hilo ndiko ngome halisi ya frelimo na ndiko palipopaswa kujengwa daraja la umoja, na siyo kule masasi ambako awamu ya tau ilijenga.
ReplyDeleteMr.President,nakuomba sana uingilie kati 'ishu'ya mauaji ya ma?zerureru(albinos).Hali ni mbaya sana na inaharibu 'shepu'ya nchi yetu nzuri tuipendayo.
ReplyDeletehilo daraja siyo hadithi mpya wlituimbisha nyimbo miaka ya 70's late 70's kutoka ruvuma mpaka maputo hadi hii leo hawajalijenga daraja limeanza toka mwalimu nyerere yupo madarakani siyo kitu kipya hicho ni yale yale matatizo yetu watu wanatia ndani tu
ReplyDeleteHivi hili daraja la Umoja halijaisha mpaka leo?
ReplyDeleteNakumbuka mwaka mmoja kabla Mkapa hajaachia ngazi alitembelea hilo daraja sambamba na Gwebuza (Rais wa Msumbiji). hadi leo halijakamilika tu? au ndio mambo ya Sam Nujoma Road?