Home
Unlabelled
julio
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii T-shirt ya huyu sijui coach....kulikoni? ndio maana yanga wakaingia mtini.
ReplyDeleteJamani kwenye kombe nzima na t-shirt kama hiyo!!!! Mhhhhhhh hata kama ni nyekundu lakini it doesn't make sense kabisa
Sasa utaka Dar avae nini suti? ili aunguwe na jua siyo? Alivyovaa sawa sawa kabisa watu wa mpira huvaa hivyo, mpira na suti wapi na wapi bwana!! ndo maana baba yake Wright Philips wa Chelsea amejitoa kati u-pundit BBC kwa kupinga kuvaa suti ameita huo ni ukale, uzamani, utopia. Ma-pundit wa ndinga ni lazima wafafane na watu wanaowaelezea, watazamaji wa huo mpira, the football marketing niche yenyewe ndivyo ilivyo, ndo maana BBC watching rating yao inashuka huku majuu kwa vile hawaendi na wakati na hawafanani na soko la football.
ReplyDeleteOh FAZA bado upo kijana tu mimi nilidhani utakuwa mzee wa mvi kibao kumbe bado unadai, mimi ni mdogo wake KADO wa Songea MAJIMAJI miaka ya 1980s enzi za MZEE MPUTA, PETER TINO, PETER MHINA, MROPE, MWAFONGO, MAREHEMU RAJABU MUHOZA, KAMPIRA, CHUMA, KABISAMA, MAREHEMU KIDULANI, nakukumbuka sana ulikuwa rafiki mkubwa wa bro, siku hizi naye ni kocha hapo Songea, anafahamika sana kama KADO, alipokuwa Morogoro alijulikana sana kama GOALGETTER ama BARRY WHITE. Nipo huku kwa watu.
Hongera JAMLINHO
ReplyDeleteKuvaaa T-shirt sio tatizo. Maudhui ya hiyo t-shirt ndio yameniumiza kichwa. Mtu coach mzima watoto wanalook after him and then he had to wear a t-shirt like that!!!!! . I have no problem for him wearing that t-shirt at all, the problem I have is the message on it. Fuction of the drawings and the meaning and the interpretations is very awkward.
ReplyDelete