Home
Unlabelled
karibu nyumbani smasher
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kaka mlete mtoto aje kupata propa,kwaliti,oganaizd edukeshen... we endelea na uzalendo wako.
ReplyDeleteDhana ya 'uzalendo'. mh michuzi na wengine mna mawazo potufu kuhusu uzalendo. katika zama hizi za utandawazi, kuwa mzalendo si lazima ukae ndani ya mipaka ya nchi mama, na kukaa bongo kula vumbi hakumfanyi mtu kuwa mzalendo zaidi ya yule aliye ughaibuni akibeba mabox (na ku-wire mipesa huku huku nyumbani inayochangia kujenga uchumi wa nchi). Ningependa kuongeza hapa kuwa hata wale wanaopiga vita pendekezo la uraia wa nchi mbili wanasahau kuwa mafisadi wote waliokubuhu hawajawahi kuchukua uraia wa nchi mbili. Kwa hiyo unaweza kumkuta mtanzania anayeishi ughaibuni awe ni raia wa tz au la (mambo ya makaratasi haya)ni mzalendo wa dhati kuliko waziri mfisadi. ninaomba tujadili hii dhana kwa kina!!
ReplyDeleteEti!! nao wakajaribu kuiga kafulanaz!! Tee hee!!! (dRU)
ReplyDeleteKarudi nyumba kulisukuma gurudumu la maendeleo?, Michu atachana msamba jamaa yako huyo, mwambie arudi kubeba boxi huku.
ReplyDeleteDu huto tufulanaz mlitovaaa ni uniform za blog ya michu nini??????????
ReplyDeletemtu maisha yakikushinda Ulaya unarudi bongo kingereza kiiingi huna kitu,umekabwa na njaa sana basi utaonekana mwenda wazima mazee.
ReplyDeleteWabongo naomba msikubali hiyo hali tafuta makaratasi kwa hali na mali hata ukienda bongo ikiwa ngumu unarudi kwenye box
Hongera braza smasher. Huo ni uamuzi mkubwa na wa kishujaa ambao wabongo walio wengi huku tumebaki kupiga hadithi. Nyie mnaokandia kurudi kwake pamoja na kijana wake na ambao mmeshindwa vita kama mnaweza jaribu.
ReplyDeleteUshauri kidogo kwa tulio ughaibuni, box inalipa lakini tukijichanganya nayo mno tutaishia "care home", AMUA SASA!!!!
Hiiiii!!!!!!!!!!!! the fulanazi!!!
ReplyDeleteya blog ya jamii !??tunpendeza!??
mweh! mweh!
Hongera sana kwa uamuzi uliochukua.Siwaelewi baadhi ya watu wanaopenda kukandia mambo ya watu wakati yao yanawashinda.Hakuna sehemu iliyoandikwa nilazima utoe comment kama huna cha kusema tulia na kama hukubaliani na mada toa sababu zako na ushauri wa kujenga na sio kubomoa na kukandia.Sisi kama watanzania tunatakiwa tuelimishane na kusaidiana katika mawazo na sio kuumizana kwa maneno.Wewe kama umekaa nje ya nchi na umejifunza vitu vyamaendeleo jaribu kuelimisha wengine nasio kuwatukana,kumbuka ulitokea hukohuko unakokukandia.
ReplyDelete