Hi!

Sisi wadau tunawatangazi wanafunzi wote waliosoma Mlimwa Shule ya
Msingi kuwa kutakuwa na kikao kilichandaliwa na wanafunzi waliopo Dar
na Dom kwa maelezo zaidi piga simu zinazonekana kwenye kadi.
Thanks

ELLY MSUYA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2008

    I wish ningekuwepo, ila nawatakia party njema. MFOSO oyee! watu wa Amani S/M mpo?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2008

    Dah... long time, ningekua Dar lazima ningetia timu... nilisoma na mtoto mmoja anaitwa Kambi na mtoto mwingine wa Mutalemwa - Cant quite rememmber his first name. Great school! good ol' times!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 16, 2008

    This is wondourful. Sasa kwa sisi tulioko nje ya nchi inakuwaje??Tupeni maelekezoili japo tutoe michango yetu maana wengine kufika itakuwa ngumu.
    -Leah Mbatta-

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 16, 2008

    Kila la kheri watoto wa Mlimwa., wa Mazengo primary lini?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 17, 2008

    eeh mlimwa jamani, jirani zetu kiwanja cha ndege, it was fun those days, wapi beta kidyalla, sophia msuya, fatuma heri na dada yake, aah loong tym. mh kuna kaka mmoja alikuwa anakaa mailimbili alikuwa na fujo sana yule kupiga watu hasa wakati wa kufunga shule. all da best ntawatafuta, inafanyika dar au dom???

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 17, 2008

    du!! ebwana ee,mi nilikuwa nasoma tuition tu hapo mlimwa kwa mwalimu kikanya,ila mi nilikuwa nasoma primary kizota.

    umenikumbusha long time sana kaka.
    tuliosoma kizota basi tuwasiliane kwa email address titusboniface@yahoo.com

    ili nasi tuandae kama ya hawa jamaa wa mlimwa.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 17, 2008

    Dah...Long time kipindi hicho nakkumbuka nakaha nkuhungu mwalimu mmoja halikuwa anatulamba mboko kisa twachelewa noma sana.Mnamkumbuka mwalimu Takadili a.k.a mwalimu supu noma sana kwa viboko.Mgalula,Devota,Kidayi,Ngwea,Anita
    ,Merystela mupo?
    Rugambwa hapa nawatakia sherehe nzuri.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 18, 2008

    haHAHAHAHAhahaha...dah, anonymous hapo juu namkumbuka sana mwalimu Takadiri alikuwa anafundisha historia. Alikuwa anatukung'uta za vigimbiz jamani duh. Ilikuwa noma mwanangu mi sitakaa nisahau vile viboko. Kuna mwingine alikuwa anaitwa Mwl. Nkungu, alikuwa anapenda kusema "Blood busterd".....kuna mwl. Bakari alikuwa anapenda sana kukoa watu makonzi duh...yaani ile miaka 7 niliionaga kama miaka 30. Jamani class of 1997 mpo jamani?? Tuwasilianeni jamani.Leah Mbatta hapo juu hebu nigei namba yako mshkaji. Usikute tuko nchi moja maana hata mimi siko bongo.
    -Saum Jumanne-

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 18, 2008

    Mimi Elly Msuya mimi nilisoma kiwanja cha Ndege ila wa ni wadogo zangu kutuka mlimwa walikuja kuomba Busara kwangu nikaona niwaweke hewani Ila jamani hii ni Changamoto wenginee tuliosoma Kiwanja Cha Ndege nasi tuandaee ya kwetu ila sio vibaya jamaa wametualika hata wa K/Ndege tukawakilishe Tukumbushane zilee za kina Mwalimu Idhungo Mwalimu katambala,Mwalimu Hincha na wale wanaokumbuka ubabee wa Zamani huwezi msahau mtu anaitwa Ally Makondile kina Mbwana viwembee nje njee

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 19, 2008

    Melkzedec Gahutu upoooo? changamka basi na sisi wa Mlezi primary school tukutane au????

    ReplyDelete
  11. mlimwa nilikuwa nakuja tuition tu kwa kikanya iliniwezesha kuwa na marafiki wengi sana na pale K.ndege. Mimi nilisoma Dodoma Mlimani wengi walikua watoto wa Kotta za shirika la reli na wa uzunguni. Mnaweza kunichek kwa hii email yangu mmapi2007@yahoo.no
    Mmenikumbusha mbali sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...