KWA WATANZANIA WOTE!
Kwanza kabisa kwako Issa:Mass media inatumika vizuri inapo elimisha, fahamisha.....kujenga kwa ujumla.Sijui kwanini unaendelea kuweka mada zinazo encourage uhasama kwenye jamii.For heaven' sake usitundike tena chochote kile kinachojenga ubaguzi kati ya watanzania
To all: Sisi watanzania hatujui hayo ya ubaguzi wa makabila, Rais wetu wa kwanza aliona hilo na ndiyo maana alisisitiza kiswahili ili kwa njia ya lugha tuwe kitu kimoja.
Sisi watanzania tunaoa/kuolewa na mtanzania yeyote, tunasafiri/kufanya kazi popote nchini bila tatizo, watoto wetu wana cheza/kwenda shule pamoja.... na mengine mengi.
Kila kabila lina sifa zake, hata watoto wako nyumbani hawana tabia moja iweje nchi, we just cannot be the same!
Kama mnataka kujua matokeo ya ubaguzi wa kikabila, ulizeni waliokaa kwenye nchi kuliko tokea civil unrest. Mfano mtu anamtwanga kwenye kinu mtoto wa jirani kisa eti sio kabila moja.....etc... etc...sio hadithi..ni kweli.
Binaadamu anapo act kama mnyama just because one is not from the same tribe..Have you even seen live horror film? once again folks STOP THIS!
Tulipendana, tupendane na tuendelee kupendana. Kila mtu yuko huru kujiendeleza apendavyo/awezavyo.
We are from the same womb called Tanzania!!!
Mtanzania
Unaweka mada hapa lakini hauna 'guts' ya kuandika jina lako. Shika adabu yako kwanza kwa kumshambulia michuzi kwa kuweka hizi mada za ukabila. Mwangazo wako katika mada hii yes ni 'ligitimate' na you are entitle to your opinion so is everyone else. Umengalia mada hii 'on the negative perspective or worse case scenarios. sikiliza kijana, ubaguzi una exist katika nature ya binaadamu, either ukabila, dini, race, class etc, all over the world. Uki acknowledge hivyo kwanza, then unangalia watu (the weak/minorities) jinsi walivyo kuwa disadvantage. Alafu ndio una address tatizo. na ktika ku adrress discrimination often in the west (USA, Europe) wanatumuai the so called 'affirmative action' au positive discrimination kuwabagua the dominant group to redress/eliminate discrimination. Kukaa kimya bila discussion on the issue is a recipe of disaster. kama kuna matatizo kati ya makabila, kupendeleana, kusaidiana on the merit ya ukabila, kuwekana madarakani, na kuiba mali za nchi na kadhalika, yatatuliwa kama kuna awereness na dilog, sio kuja kutuambia tukae kimya. I am calling for Michuzi kuendelea kuweka mada hapa for discussion and feel free to disagree cuz you are all entitled to an opinion.
ReplyDeleteNi kweli mgosi, maneno yako mazima.Ukabila ni adui wa maendeleo. Ila kwa uyo raisi wetu wa kwanza na kswahili mi nahisi kama alikipigia debe kiswahili kwa sababu harakati za kupigania uhuru zilikua Dar es Salaam ambapo wenyeji walomkaribisha Dar walizungumza kiswahili ili kufahamiana na pia yeye alikua sio mhaya au mchaga ,kabila lake ni dogo sana ya kwamba angesema watu wazungumze lugha yake angeonekana mwendawazimu. Tushukuru kua hakuwa miongoni mwa watu wa makabila makubwa Tanzania manake sasa tungekua tunazungumza kichaga au kihaya.
ReplyDeleteGUTS? NA NIKIWEKA JINA UTANIFANYA NINI? ANYWAY MGOSI WA TANGA POLE SANA INAELEKEA IQ YAKO NDOGO SANA. MADA HIYO KWA KIFUPI NI KUKEMEA MAWAZO YA KIKABILA NA KUONYESHA MADHARA YAKE.
ReplyDeleteTUSIPOTEZE MUDA NA WEWE JE UNAITWA NANI? ....HAHAHA NYANI HAONI...
KIJANA
Mgosi wa tanga kuonyesha kwamba wewe ni bora kuliko aliye tundika mada hiyo, ungeanza kwa kutoa jina lako kwanza, kwenye hiyo mada haja tukanwa mtu kama wewe unavyo mshikisha mwenzio adabu, mada ni clear kulinganisha na ulicho andika wewe. Sorry lkn point haieleweki....sijui unamtetea Issa? lkn mbona ni yeye Isaa kaiweka hiyo hapo? Inaelekea una matatizo, shauri yako
ReplyDelete