Dear Wadau,
It is a great joy and privilege to be able to welcome you to Zanzibari Reunion. Zanzibaris (including people from Pemba) everywhere in Canada and around the world are invited for this upcoming reunion, which will be taking place on August 1-2, 2008 in Toronto, Canada.
This is a lifetime chance to meet and make re-acquaintances with that long lost friend from VISIWA VYETU VYA ZANZIBAR NA PEMBA, which holds a special place in all our hearts.
Please visit the website mentioned below frequently for further details of the program:
WHAT?
ReplyDeleteREUNION?
WERE YOU ESTRANGED?
My wife is Mombasan born to a Pembish mum and Makunduchi father both migrated to Mombasa back in 1964. My two sons were born in Canada and only one has ever set foot on the Zanzibar soil. I am a Zanzibara with a flawed accent and very little knowledge of the islands although my wife is very passionate about them. All of us will be in Toronto around that time. I was just wondering who among us is eligible to attend the re-union. Please advise asap.
ReplyDeletehey hey msituanze hapa mnaalika reunion ya wazanzibari halafu mnasema including people from pemba! mnatafuta ushari au? kwani wapemba sio wazanzibari? Mnajua fika kuwa zanzibar ni muungano wa unguja na pemba sasa mbona hamkusema including people from unguja? Najua mnachotafuta lakini sisemi neno maana michuzi hatoweka kwenye blogu yake
ReplyDeletewewe anonymous wa kwanza wacha ushamba, si kwanza nenda shule kabla ya kujifanya unajua lugha ya watu?
ReplyDeletemweh! wazanzibari mbona mnashughuli sana.UBAGUZI WENU SIJUI UTAWAISHA LINI.
ReplyDeleteHeh!Makubwa kumbe na huko moto unafuka? Zanzibar sijui pemba au unguja...Mhhh
ReplyDeletehapa tuliko kuna mzanzibari sijui wa unguja au pemba lakini tukifanya get together zetu haji kabisa. Mwenzetu hataki kujihusisha na wabongo kabisa. Anasema yeye ni mzanzibar...sasa wanzanizibar sio watanzania jamani?
Mara naona Zanzibar reunion including people from Pemba ???kwani Zanzibar iliundwaje..?????
Tanzania ni muungano wa Tanganyika na zanzibar. Na Zanzibar ni kisiwa cha unguja plus pemba etc...
Sasa nyie mkisema sio watanganyika tutaelewa lakini sio watanzania??????
Hey wabongo wote mambo vipi? Mimi ni mbongo nimezaliwa hapo DSM mjini
ReplyDeletena naishi hapa Toronto,Ila kunakitu kimoja kinacho nishangaza hawa ndugu zangu wa Zenj siwaelewi kabisa huu usemi wao wanaopenda kusema yule furani ni mpemba au yule ni mzenji na yule ni mdalesalaam? Mpaka sasa hivi naishi hapa mwaka wa 9 huu,naona jinsi walivyokuwa wabaguzi na walivyokuwa hawana mapenzi kabisa na watu kama waliyozaliwa DSM wanaitwa matapeli,wahuni,wezi n.k.Ila kumbukeni sisi wote ni watanzania.Na nyie wazenji unaojiita waarabu na siyo wabongo..