Picha hiyo ya juu mdau michuzi akiwa na CEO wa ZIFF Dr Martin Mhando katika moja ya Gala Night ndani ya kisiwa cha marashi katika tamasha la ZIFF. Na nyingine mdau Bro.Misupu akiwa na Ogova Ondego kutoka Lola Children Screen huko Kenya wakiwa katika Gala Night Dinner ya NPBC-NMI katika Tamasha la ZIFF.

Picha na Mdau mwingine

Dean








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...