Katika kufanikisha michuano hii Castle Lager imekabidhi bib 22 na mipira 10 kwa timu zote 11 zinazoshiriki katika Kagame Cup 2008.
Hawa jamaa toka ukweni kwetu ni machachari kabisa na tayari imeilamba Rayon Sport ya Rwanda magoli 4-1 siku ya ufungizi wa Kagame Cup 12 July 2008 kwenye kiwanja cha hapo hapo kasoro bahari.
Timu nyingine ya nje ilioko kituo hicho cha Morogoro ni Awassa ya Ethiopia.Timu zote nyingine ziko Dar-Es-Salaam.
viwanja vya chuo kikuu cha Sokoine University of Agriculture huko mji kasoro bahari...sawa baba Michuzi
ReplyDelete