Waziri wa Nchi wa zamani katika baraza la kwanza la mawaziri wa Serikali ya awamu ya kwanza Mh. Isaac Bhoke Munanka aliyefariki dunia Jumamosi ilopita akiwa na umri wa miaka 81 anatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Kinondoni, Dar.
Matanga yapo nyumbani kwa marehem huko nyumbani kwake Kimara, Dar.
kwa habari zaidi bofya hapa
RIP!
ReplyDeleteMichuzi please bring more pics za mazishi.