Home
Unlabelled
mh. spika na waheshimiwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kool and the Gang!
ReplyDeleteHawa jamaa hawajakamatwa tu? JK jitahidi ndugu yangu, unaadhirika.
ReplyDeleteSpika Sitta, hawa jamaa wanakuambia nini?
ReplyDeleteMover and shakers still in the game.Tanzania ina wasomi hawa tu wakifungwa tutaishije?These jamaaz will always be hapa hapa mtasema mtachoka
ReplyDeleteHuenda hapo hao jamaa wanampiga Spika wetu mkwara!
ReplyDeleteKaramagi ''..Aisee we Sitta achana na TICTS bwana! hujui kwamba mheshimiwa mstaafu ana chake humo?''
Mramba ''...aise wee Sitta achana na mambo ya ndege ya Rais na Rada bwana! utamuumbua Mstaafu ebo!
ona raia kule nyuma wanavyotabasamu kumuona karamagi na pesambili,nadhani mawazoni mwao kinachoendelea ni hiki, BORA BABA ANGU NAE ANGEKUWA TU FISADI KWANI FISADI ANAHESHIMIKA KULIKO MTENDA HAKI PILI HASHTAKIWI WALA NINI ,kweli pesa sabuni ya roho ukiwa nazo mpaka supu ika aka 6anakusikiliza kwa makini japo anajua ulikula cha juu wakati wa kununua pipa la prezzo awamu ya muhishiwa aliyepita aka makaaa ya mawe ya kiwi la wira,wabongo sio wadanganyika ila ni waoga wa kuwawajibisha wenye pesa japo wao ndio wameporwa,uoga ukituisha ndio tuanze kupambana na ufisadi kwa sasa bado, tundika hii kapteni michuuuzi,ni vema mafisadi wakajua makaburi hayahitaji mbwembwe ndio maana hayana viyoyozi so wajifunze kuishi kwa haki,hala hala siku wabongo uoga ukiwatoka kazi ipo
ReplyDeleteina maana wasomi wako wawili tu,hata kama ni wasomi lakini ni wezi sasa, wanaiba kisomi ama!?,hawa jamaa ni wabaya sana, waogopwe kama NGOMA.
ReplyDeletekwani Sitta mwenyewe si walewale tu. Halafu mbabe kama nini
ReplyDeleteSitta ndiye alikuwa mkuu wa kituo cha uwekezaji!!!!
ReplyDeleteMAALIM ISSA TUNASHUKURU KWA "..FURSA.." ULIYOTUPATIA.VIONGOZI WETU WAKO HURU NA WANAENDELEA KUFAIDI "..MATUNDA.." YA KAZI YAO KATIKA "..BUNGE.."
ReplyDelete".Bodi ya Ufisadi Na Gharama Endelevu."
JK NA WABUNGA SAFI MUWE MWANGALIFU "..SANA NA HILI JAMBO.."
ReplyDeleteWANAHARAKATI WA ARDHI NCHINI WAIONYA SEREKALI
2008-07-22 17:37:25
Na Devota Kabuta, Jijini
Wanaharakati wa masuala ya ardhi wameitaka Serikali kusitisha zoezi linaloendelea sasa la wawekezaji kutwaa ardhi vijijini kwa ajili ya kuzalisha mazao yatakayotoa nishati hadi hapo sera na sheria kuhusu nishati uoto zitakapotunzwa na kujadiliwa vya kutosha.
Mkurugenzi Mtendaji wa Haki Ardhi, Bw. Yefred Myenzi, ameyasema hayo mwishoni mwa wiki wakati alipokuwa akitoa muhtasari wa taarifa ya utafiti kuhusu nishati uoto Tanzania.
Amesema hivi sasa, wawekezaji wanakwenda moja kwa moja vijijini na kuongea na wananchi wasio na uelewa wa masuala ya ardhi, hivyo uwezekano wa kuwarubuni ni mkubwa kwa kuwa hadi sasa hakuna sera wala sheria na kanuni zinazoelekeza namna ya kuendelea na mchakato huo.
``Uelewa wa jamii kwa masuala haya kwa ujumla bado uko chini. Wengi wanavutwa na ahadi za haraka bila kujali athari za muda mrefu,`` amesema Bw. Myenzi.
Amesema hali hii inasababisha bei ya vyakula kuendelea kupanda huku taarifa ya benki ya dunia ikisema hadi asilimia 75 inatokana na chakula kutumika kwa nishati uoto.
Amesema ni vizuri kama uwekezaji mkubwa ukaelekezwa katika nishati mbadala zinazotokana na jua, upepo na maporomoko ya maji bila kutumia mafuta yenye kemikali za kaboni.
Aidha, amewataka wananchi wakatae kuondolewa kwa nguvu katika maeneo yao bila mjadala mrefu juu ya fidia kwa viwango vya soko badala ya kupangiwa viwango na mwekezaji.
Amesema baadhi ya taarifa za kitafiti zinaielezea Tanzania kuwa ni nchi inayoweza kuzalisha nishati uoto hadi kiwango cha kutosheleza mahitaji yake kwa vile ina ardhi ya kutosha, maji na hali ya hewa nzuri.
Amesema hivi sasa, nchi ina zaidi ya hekta milioni 88 zenye rutuba na kati ya hizo, ni asilimia sita tu ndizo zinalimwa.
Amesema tafiti zinaonyesha pia kuwa hekta milioni 55.2 zinatumika kwa uzalishaji na kati ya hizo ni hekta milioni 10.8 hutumika wakati milioni 44.4 zimeachwa tupu, ingawa zinafaa mno kwa kilimo cha mazao ya chakula na mengineyo.
Bw. Myenzi amesema utafiti umebaini kuwa takwimu hizo pamoja na mahitaji ya nishati na mazingira ya uwekezaji nchini, vimekuwa vichocheo vikubwa vya wawekezaji toka nje kutiririka kutafuta ardhi vijijini ili waitumie kuzalisha nishati uoto.
Amesema hadi sasa, makampuni 37 ya ndani na nje ya nchi yameonyesha nia na mengine tayari yamepata ardhi sehemu mbalimbali nchini.
Amefafanua kuwa, 13 kati yao ni ya nje, 6 ni ya wenyeji na manne ni mchanganyiko na 14 yaliyosalia hayajulikani kama ni ya kigeni au ya wenyeji.
Hata hivyo, amesema mazingira yanaonyesha kuwa yapo makampuni ambayo yanaendesha shughuli za aina hiyo kimyakimya.
wE MICHUZI UNAOGOPA WASIJE WAKAKUBENEA NINI? acha kuminya mawazo ya watu nimekwambia spika anaongea na mafisadi kwani unabisha? au nawe ni kijifisadi kidogo? acha hizo
ReplyDeleteJk, "ACTIONS SPEAKS LOUDER THAN WORDS" please send these fake politicians to court of law to answer corruption charges
ReplyDeletewatu mnaosema wamesoma...tafadhali fafanueni elimu zao hawa? Usikute ni ki-digrii au ki-masters tu! Alafu utakuta walisoma Urusi enzi za ukomunisti...tehehehe! Alafu kuna sehemu nimesoma Tanzania walipopata Uhuru kulikuwa na watu tisa tu wenye digrii...duh! Yani 9 tu jamani. Nadhani hao ni tisa babu aliowakubali katika serikali. Lakini bado aibu! Alafu watu wanashangaa mbona tupo nyuma leo...hehehe
ReplyDelete