Mahususi kwa wadau wa Geneva,
Mimi mdau wa blogu hii ya jamii nipo Denmark, natafuta chumba cha bei rahisi mjini Geneva cha kuweza kuishi kwa muda wa miezi minne September-December 2008 nikiwa nafanya masomo kwa vitendo (internship).
Mdau yoyote mwenye taarifa za kuweza kunisaidia naomba tafadhali anitumie sms kwa 0045 2247 9364 nami nitawasiliana nae.
Na kama kuna mdau yupo tayari kuchangia gharama kwa apartment yake pia nipo tayari.Natarajia msaada wenu wadau.
Shukran,
MdauDK

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2008

    Mdau mbona mbona hujataja jinsia yako ili watu wanaotaka kushea chumba na wewe wafahamu?
    Mdau
    Geneva

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2008

    Ningekushauri utembelee tovuti hapo chini na ufanye followe-up na wanatoa ofa zao. Send emails, google etc utafanikiwa.

    http://www.unige.ch/dase/bulog/form/bourse.php#loue

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 06, 2008

    Bei rahisi hukohuko bongo kwa wala vumbi, starehe garama, ebooo???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...