majaji wa cheza tanzania wakiwa kazini jioni hii kwenye mashindano ya kucheza dansi katika ukumbi wa angel's park. toka shoto ni kinyonga, ommy sydney (bingwa wa pili wa taifa wa zamani wa kucheza dansi. wa kwanza alikuwa marehemu black moses kwa wanaokumbuka) na dj fetty wa clouds 88.4fm mmoja wa washiriki akijirusha
maofisa wa music mayday, taasisi iliyoandaa mashindano hayo ya aina yake wakifuatilia mpambano.
dansa akiselebuka
kila aina ya mtindo ulioneshwa na vijana wapatao 74 waliojitokeza jana na leo kuchuana katika kucheza muziki katika ukumbi wa angel's park namanga, dar. wachezaji 40 walitarajiwa kutangazwa kuingia katika hatua ya pili ambapo tbc itarusha mashindano hayo kuanzia katikati ya mwezi ujao. mshindi atapata tiketi ya kwenda uholanzi kwenye mashindano ya dunia baadaye mwaka huu, kwa hisani ya music mayday

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2008

    Bro Misupu! Mie naanzisha mjadala wa neno BETOZI linetoka wapi? Na wazo lakini weka kwenye blog kwa mjadala!! Pole sena kwa kipigo cha kombe la kagame!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...