Home
Unlabelled
msiba: Mzee thomas marijani kizigha katutoka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Poleni sana familia ya Kizigha kwa msiba huu mzito. Baada ya kumpoteza Mama miezi michache iliyopita, na sasa Baba kwa kweli ni majaribu makali.
ReplyDeleteMungu awalinde na awape nguvu wote Kaka Charles, Dada Diana, Rosella, Lilian, Sheddy, Pepe, Dotto na Baby Catherine.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana na lihidimiwe.
Brother Charles pamoja na familia,
ReplyDeletePoleni sana kwa msiba huu mkubwa. Namuomba Mwenyezi Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu.
Inawezekana ni wewe Brother Charles, au nduguyo tulikuwa naye
(Maendeleo 3) BOX 2, Songea. Siku nyingi kidogo.
POLENI SANA.
Rashid, (rdor7819@hotmail.com)
London, UK.
poleni sana wafiwa kwamsiba mzito hiyo ni njia ya wote mbaya ukitangulia tu,
ReplyDeletesweet,
Arusha.
Sisi tulikupenda lakini bwana alikupenda zaidi.Jina la bwana lihimidiwe.
ReplyDelete