Mwanamitindo wa Kitanzania, Didas New Fashion, (pichani) yupo nchini akitokmea Northampton, Uingereza, katika maandalizi ya kuandaa maonyesho ya mavazi kwa wanamitindo wa kitanzania.

Onyesho hilo litafanyika huko Northampton mwezi December 2008.
Wanamitindo wa Tanzania zaidi ya watatu watapata nafasi ya kuonyesha vitu vyao huko Uingereza. Habari zaidi zinatolewa karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2008

    umekuja na mdogo wetu JOE au kachemsha tayari kama tulivyojua?

    Asia

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2008

    Go Khadija! Wishing you all the best. Huyu dada nimesoma nae Kenya kwa kweli alikuwa anajituma sana. Nifuraha kuona wadada wenzetu wakibongo wakifanya mambo kama haya.
    Wasichana wenzangu tuige mifano hii sio kukalia umbea na kutukanana kwenye mablog.
    Big Up Michuzi!! this is what we need to see kwenye blog's.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 29, 2008

    Uongo mmbaya huyu dada nikiiangalia picha yake sana naona kama vile macho yanauma vile hasa nikimuangalia machoni naona kama nalazimika jicho mocho kulipeleka kulia na likingine kusho kwa wakati mmoja(aka kengeza)

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 30, 2008

    Hongera dada, hongera sana. Wana mitindo wengine wa Ki-Tanzania waige mfano wa dada huyu... Hebu ona alivyo pendeza na anaonekana she knows what she is doing. Kuna wanamitindo wengine bwana sijui wanafuata mkumbo tu. Na hata wakivaa pia hawapendezi aaaaaaa.. Michuzi hebu waweke hao wengine wawili ili tujue kabisa wanani wanaenda kutu represent huko. Tusije tia aibu bure. Hongera mama..you looking sharp and i like your style.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 30, 2008

    hey dija mambo vp?its ben long time,aint cee ya.keep doin what whacha doin,big up mama.this is me baajun hussein,your brother' Mussa"friend who was living Block 41 close to Aunt razina"s house.u may recognize me?.aight pls find to me a mussa's contact,.i wana tolk to him.take ma mail and give it to him jr_menofhonor@yahoo.com

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 30, 2008

    Nilifikiri Didas ni jina la kiume - au kuna kitu nakosea kusoma hapa. Nakumbuka pia kuwa na jirani akiitwa Bhoke lakini alikuwa mwanamke sasa leo nimeona Bhoke Munanka mwanaume hapo juu - au akili yangu inaenda kinyumenyume sasa...

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 31, 2008

    Big Up Khadija. Hongera mshikaji .
    Dublin

    ReplyDelete
  8. Centre for Sustainable Fashion Conference, 27-28 October 2008, London

    October 2008 will see the Centre for Sustainable Fashion stage it's first conference, asking whether fashion can bring about a long term lifecycle change to move us towards a more sustainable economy and better lives. The conference will feature an evening reception and catwalk show to include a showcase of selected work from the ‘Chuck it or Keep it' competition. This will showcase creative solutions to the issue of consumption and sustainability by students and graduates from across the world.

    ReplyDelete
  9. Bhoke,Didas, Tumaini, Omega, Hilary,Zawadi are Unisex names
    usione kizunguzugu unless ur zingwikuku IoI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...