meneja wa timu ya rose garden (kati) akiwa hataki kusikia la mtu baada ya mchezaji wake mmoja (shoto) kubadilishana jezi na mchezaji wa 'adui' akisema kwamba lazima jezi irudi ama ilipwe hapa hapa uwanjani...hahahaaaaaa
juu ni wachezaji na maafisa wa timu ya rose garden na chini ni kikosi cha kwanza cha timu hiyo ambayo imesheheni nyota wa maximo. hii ilikuwa ni katika bonanza ndogo ya warembo kuosha magari kwa hisani leo leader's club kinondoni








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2008

    Halafu huyo jamaa anathubutu kukaa na wanaume na kuanza kuiponda TFF kwa kumkandia Cannavaro pale alipotoa jezi kwa E'too...!!!..??

    Hawa ndio watu wanaosapoti TFF katika utumbo wao..!!

    Sh. 10,000 ya jezi ni bia ngapi..?? Mambo kama haya sometimes wawe wanayaresolve kimya kimya and not ki-aibu namna hii..!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...