Hello Michuzi,
Huu ni mlima mkuu wa Noway...nilitembelea jana..mlima unaitwa Stetind uko north of Norway..

salaamu zangu zimwendee jeremiah martni akiwa changombe mchicha,jordan urasa akiwa Esacs na Vanessa charless akiwa changombe mchicha..nawatakia sabasaba njema....

anti kyekuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2008

    Eee bwana wewe ulikuwa unatafuta matunda ya polini nini ...usije ukawa uliingilia samba la Mfinange...maana hayo ndiyo yaliyo kuwa mashamba ya watu mpakani mwa sweden na norway.....kulikuwa kuna tunda siyo la kawaida ..wadau wengi nafikiri minewakumbusha mbali ..mambo ya ostersund...halefors..Hagfors (kwenye mnara ).malmo , kaskorga.kwa magret.....
    ok maisha kweli yanaanza chini.....
    Doctor...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...