Home
Unlabelled
samaki nchanga uchina...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tupe matokeo ya SIMBA na URA acha ujinga wewe
ReplyDeleteyeah huko kwako ni chakula kama kawa. Ila wameambiwa kwa wakati huu wa olympic ni marufuku kusave mbwa au panya hotelini. Mpaka olympic iishe
ReplyDeletelakini panya wao sio wale panya kama wa bongo. Hawa ni jamii ya kama ya Sungura sijui mbwa ni mbwa gani hao ila wanakula wenzetu.
Sijui ni matayarisho au nini mbona hapa anavutia kusema unaopoa kipande cha kuku, wale tulokiwaona jana! mh!afanaalekum kusema ndo sasa hivi kantoa kwenye gunia la nkaa au shimoni kwenye nyumba yake, chambile cha wahenga siku zoooote chanda chema huvishwa pete, na ving'aravyo vyote si dhahabu vyenginevyo ni shaba hughilibu, maana ukikirimiwa mgeni hiyo sahani aaah1 kwa raha zako na ukirudi home unasifu nilikirimiwa msosi babu kubwa.
ReplyDeletemh panya panya tu hamna wakwao wala wa kwetu me nachefukaaaaaaaaa
ReplyDeletesamaki au panya wadogo!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletesweet,
Arusha.
wale wote wanao kubaliana na kula panya wengi wao huishia kuvuta madawa ya kulevya maana mtu mwenye hakili timamu hata weza kuiga ujinga.
ReplyDeletena mwisho sumu ya panya ikiwaingia ni kutamani kula watu wenzenu
mtu mwenye busara asingetuletea panya na kusema samaki
mnahitaji kumuona dr.bingwa wa ubongo huenda mkawa mmedata tayari
chaumbile MNUNGU cha kumanena,halamu lijanga.
ReplyDeletemichuzi!why do you like traumatizing people's stomachs and appetites like this?!sio vizuri hivyo.
ReplyDeleteduu mwana mie kama kweli panya wanasoko hivyo mie nitafutieni watu huko china niwe na export hawa panya walio kule tandale nilipokuwa naishi mbona hii biashara safi tu ndugu,,,,,,,,,,!mie naamini asenga mkaanga chips pale sehemu akiiona hii picha si ajabu akatubambika panya badala ya kuku,manake panya alivyo ukiletewa kwenye kigiza usiku mbona unauvaa mkenge unakula na wala hutokubali kama ni panya,mie kama ningepata mtu wa kuzisafirisha hizi panya zilizopo tandale tu kwa mtogole nazani uchumi wa nchi ungepaa ni wengi kuzidi maelezo
ReplyDelete