simba wakijikagua wenyewe na marefa. chini wakiingia uwanjani neshno mchana huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2008

    Mpira wa Bongo ndiyo maana unachosha ... sasa sababu ya hao Yanga kutoonekana ni nini hasa?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 27, 2008

    mzee wa libeneke pole sana! unajua saa nyingine matukio husaidia kujua upande wa mtu.pole na wazee wenzio wa bwawa la mbu(jangwani) teh teh teh teh teh.... sasa michuzi nikuulize swali kwa mtindo huu kuna kukua kwa soka bongo? ni lini wachezaji watakuja kuwa na nidham aizungumziayo maximo?kama viongozi wao wenyewe hawana?hivi pesa ya kununuliwa kaseja(35ml)leo iwatie aibu na taifa kwa ujumla?eti sizitaki mbichi hizi...!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 27, 2008

    kaka michuzi inatakiwa panapoukweli uweke mapenzi binafsi pembeni. sasa hapo simba wanajikaguaje wenyewe? na wakati tunaona wanasalimiana na marefa!wape hongera zao si tu kwa kuwa washindi wa3 bali kwa kuonesha hali ya kiuwanamichezo.hivi hao wakenya na waganda watatuonaje sie?kweli simba ndo baba ya soka TZ.yanga acheni siasa chezeni soka.pesa wanapewa washindi wa 1,2na3 nyie mnataka pesa kwa makubaliano gani?zitoke wapi?mmeniuzi sana!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 27, 2008

    Haya ndio mambo yanaoua soka la tanzania.mchezo ni mchezo tu na kama waliona hauna muhimu wangeingiza reserve team yako kuja kuwakilisha lakini sio kutokuja uwanjani kabisa.haya mambo yalikuwa yanafinyika zamani sana hukuti popote duniani sasa hivi timu ijatokea uwanjani.na huu ni ushauri bure kwa cecafa ni lazima wawape yanga adhabu kali sana na pia wafungiwe kucheza kombe hilo kwa kipindi fulani hili hiwe fundisho kwa timu zingine.tukiendelea mambo kama haya soka halitafika popote.
    Mdau mzawa

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 27, 2008

    Yanga wameona aibu kwa vile walichonga sana na kuwacheka wenzao matokeo yao wanajikuta wanagombea ushindi watatu.hatua kali ichukuliwe kwani wanatoa mfano mbaya na pia wanadidimiza ssoka la nyumbani.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 27, 2008

    nidhamu ya mchezaji hujengwa kuanzia ktk club na akihitwa national team anakuwa mchezaji aliyeiva. Angalia viongozi wa club kama yanga hawana nidhamu...je wanatoa picha gani kwa wachezaji. Maximo ana kazi kweli kweli

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 27, 2008

    hahaha, WANA BAHATI SANA WANGETIA AIBU MAANA SIDHANI KAMA ZINGEPUNGUA GOLI 5...........tehe tehe

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 27, 2008

    Hawa jamaa weupe ngoja Tanzanite Fc tutie timu. Naamini tutazifunga timu zote Bongo!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 27, 2008

    Mimi nasuport YANGA kuingia mitini, ingawa mimi ni mnazi wa SIMBA, kwa sababu hao TFF AND CECAFA, wanachotaka wao ni mapato tu, punbuva zao wezi wakubwa. Vipi mashabiki walikuwa wengi au? nataka TFF wapate hasara

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 27, 2008

    sasa kiingilio watu watarudishiwa au ndio hivyo tena. Ujinga ujinga huu sijui tunaonekanaje na watu wa nchi za nje.
    Hamna fine ya kuwatoza hawa waliokuwa wanatakiwa kucheza na kukimbia mtini. Si wangesema toka jana. Watu wamefunga safari zao na kuacha mambo yao ya muhimu na kupoteza gas yao kwenda uwanjani kuangalia mpira halafu watu wanaingia mtini...Mhhhhhsina la kusema....

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 28, 2008

    Kwa tukio hili inatosha kuwafungia kuongoza mpira viongozi wote wa Klabu ya Yanga.

    Timu isifungiwe kwani siyo wanachama wote waliotoa maamuzi ya kutokwenda uwanjani.

    Ni aibu katika karne hii ya leo klabu kama Yanga inafanya kituko, inashangaza sana.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 28, 2008

    Mshindi wa kombe la Kagame anapata USD 30,000 Yanga wanataka wapewe Tsh 50,000,000/= ili wacheze mshindi wa tatu sijaona kitu kama hicho kwa walioendelea, Simba wameingia uwanjani kuonesha nidhamu Yanga wanasema wanadhiki ya pesa wapi na wapi? Wamechemka sana Yanga yaani kama mimi ningekuwa na maamuzi ningewafungia Yanga kushiriki Kagame miaka 20 wangetia adabu,

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 28, 2008

    Yanga Mmenisikitisha sana, Mmenihuzunisha sana na mmenifadhaisha sana. Haya mambo ya kugomea mechi si ya wakati huu tena bila ya sababu za msingi. Huu ni woga ambao mmeuonyesha. Mimi ni mwana yanga na mmeniudhi. Ni aibu mmetuletea sisi wa Jangwani.

    Kwa mitaji hii vijana wa copa cocacola hawatakiwi kuingizwa kwenye soka la mizengwe kama hili maana wataharibu vipaji kabisaa.

    Ni haya tu Mheshimiwa Mkuu wa wilaya ya Tegeta.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 28, 2008

    Mgongo wazi wamekimbia.BARUTI HAOOOOOOOOOOO.Kutamba kwningi kumbe maneno matupu.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 28, 2008

    Hawa jamaa ni wa kufungiwa tu. Wameboa sana. Ndio mambo ya kutegemea misaada. Hizi timu zinatakiwa kuongozwa na watu wenye maadili. Na sio wafanyabiashara za ajabu ajabu. Hela za misaada zimewaponza.

    Hawa viongozi wa Yanga hawana kabisa ethics. ni wapumbavu wakubwa sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...