FAMILIA YA MAREHEMU SIMBO NTIRO ALIYETUTOKA GHAFLA SIKU YA JUMAPILI ILOPITA KWA AJALI YA GARI INAARIFU NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI KWAMBA SALA YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU ITAFANYIKA KESHO ALHAMISI KATIKA KANISA LA MTAKATIFU ALBAN JIJINI DAR KUANZIA SAA TANO KAMILI ASUBUHI.
BAADA MISA HIYO MWILI WA MAREHEMU SIMBO UTASAFIRISHWA KUELEKEA KWAO MACHEME MKUU KWA MAZISHI AMBAYO YAMEPANGWA KUFANYIKA SIKU YA IJUMAA HAPO HAPO MACHAME MKUU.
WENU KATIKA MAJONZI,
DAVID SAWE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 16, 2008

    Msiba ni mzito. Mungu amsamehe makosa yake na aipumzishe roho yake mahala pema. Tuwekee picha yake humu kama kumbukumbu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2008

    Natoa pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba huu. Aidha, tunashukuru kwa tarifa kuhusu msiba huu. Ombi langu ni moja tu kwako Mr. Sawe, ninaomba kama wenzangu waliotangulia utuwekee picha yake, ni kwa nia njema tu. Mimi nimepata sana shida. Jina, ninalijua kabisa, lakini kwa mambo yalivyokuwa mengi kichwani, siwezi kuoanisha sura yake na jina. Ninahisi ni mtu ambaye ninamjua. Ninaomba hilo kwa nia njema tu na kwa faida ya wale waliokwishatangulia kuomba.

    Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2008

    Sawe, ni Machame Nkuu not Mkuu. Ndereni ndoo to be exact. Was he the son of Sam Ntiro the artist?

    ReplyDelete
  4. ???????????????????????????????????????????????????????????????????????????????KITUBIO???????????????????????????????????????????????????????????????//

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 18, 2008

    yes, Simbo Ntiro is the second born of the late Prof Sam Ntiro. His Siblings are Joseph, Kunda, Makyei, Seka, Mashingo and the late Manka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...