Meneja wa Safari Lager Brand Manager, Fimbo Buttallah (kati, shati la buluu nyepesi), akipozi na wachezaji watano wanaounda taifa stars ya pool katika mkutano na waandishi wa habari wa kukitambulisha kikosi hicho leo. kikosi hiki kimepatikana baada ya michuano ya taifa iliyodhaminiwa na kilaji cha safari lager hivi majuzi hapa dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 25, 2008

    Mkuu Fimbo mambo vipi wewe, siku nyingi hatuja onana. Poa safi sana inanikumbusha Hall 2 105.

    Roomate wako
    aka Eng-Acc

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...