warembo wataoshiriki mtanange wa vodacom miss tz 2008 wakipozi na gari ambalo mshindi wa kwanza ataibuka nalo agosti 2, 2008. gari hilo limetolewa na wadhamini wakuu wa mashindano hayo, vodacom

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 24, 2008

    Tunaomba matokeo ya Simba, acha Uyanga wako Michuzi!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 24, 2008

    Mwaka huu Mamiss wamechoka kweli,sasa hebu angalia kama hao wa mwanzo hapo,huyo aliyesimama kushoto,na anayemfuatia aliyechuchumaa kushoto naye mmhh ,labda wa huko nyumba lakini hao wanaoonekana hapo mbele ni balaa,yaani hata facial expressions zao ni utata!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 24, 2008

    jamani mbona nnatupatia wima mchana mchana!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 24, 2008

    kunawengine wananiudhi yaani wanakenua meno mpaka nje wakati wanajua kabisa wataishia kugusa body tu hapo

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 24, 2008

    Alaa! Sio RAV4 ya 100yrs. ago tena?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 25, 2008

    gand Vitara bei tshs 42m???wadanganyeni hao hao akina dada.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 25, 2008

    Jamani wadhamini watafute gari zingine za maana.Hii gari si Suzuki Feronza? Watawapata sana!

    Mdau
    Col, Ohio

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 25, 2008

    Halafu hiyo ndio a good shot? mama yangu. Kila mmoja alikua naangalia sijui cheka, nuna atakavyo. Hawakuwana mwelekeo wala mpangilio kabisa.Hawaonekani hata wote.


    labda mwaka huu ni braniac tu hapo lakini kwa beauty bado sijaona hebu lete picha nzuri labda tunakosea tusemayo

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 25, 2008

    Commitee/ Organisers wa miss Tanzania hamna mwanamke hata mmoja...
    mnasemaje wadau kuhusu hili??

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 25, 2008

    Gari kweli jipya. Ila sasa ina maana gani washiriki toka mikoani washiriki alafu miss Tanzania piga ua lazima toke Dar. Badilisheni jipa iteni, Mis Dar- Tanzania

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 25, 2008

    HAWA WATOTO SIJUI WAMEFIKAJE HAPA WALIPO..JAMANI YA ALL NEED KERIA..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...