hapa ni ukumbi wa stallion ulioko mlalakuwa maeneo ya avocado. nyie mnaotunyima minuso na tenda kwa kuoa/kuolewa ughaibuni mambo iko huku siku hizi. ushindwe wewe tu...




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 17, 2008

    MAPAMBO MBONA YANAFANANA KILA ARUSI?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2008

    yaani pamependeza sana hongera mpambaji.

    sweet,

    Arusha.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2008

    Ni kweli pamependeza sana! LAKINI-Ni mahela mangapi yametumika hapo??? Ni hela ngapi zingesaidia kuzuia shida na kero nyingi ambazo watu walioko vijijini wenye matatizo chungu mbovu wanapata??? Mfano: nina uhakika maharusi wana ndugu huko vijijivi ambao sukari hata chumvi wanazisikia kwenye redio. Ama kweli Watanzania TUNAPENDA MAKUBWA huku shida njaa vifo kila leo vinatokea...Kwa kufanya vitu viwe simple UNAWEZA KUOKOA MAISHA YA WATU!
    Hebu tubadilike jamani! TUFIKIRIE NDUGU ZETU WENYE SHIDA badala ya kuspend hela nyingi kwenye KITU CHA SIKU MOJA!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 18, 2008

    Wabongo tumekumbwa na kawazimu flani. Unachosema kuwa tunapenda makuu ni kweli. Lakini kwa utamaduni wa sasa usipochangia harusi ya jamaa ama jirani unatengwa, usipochangia ishu za maendeleo unaonekana kweli huna kitu. There is a long way to go ili kuondokana na hako kautamaduni. Sie watu wa mjini tunabanana hapa town na artificial life wakati ndugu zetu kabisaa wa damu, wakula waya tu chijijini.TUBADILIKE, harusi ziwe za kawaida tu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 18, 2008

    hamna lolote hapo.mapambo mbona kawaida tu???

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 18, 2008

    watz hebu lets live simple,so that others can simply live...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...