Home
Unlabelled
ukumbi wa stallion
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MAPAMBO MBONA YANAFANANA KILA ARUSI?
ReplyDeleteyaani pamependeza sana hongera mpambaji.
ReplyDeletesweet,
Arusha.
Ni kweli pamependeza sana! LAKINI-Ni mahela mangapi yametumika hapo??? Ni hela ngapi zingesaidia kuzuia shida na kero nyingi ambazo watu walioko vijijini wenye matatizo chungu mbovu wanapata??? Mfano: nina uhakika maharusi wana ndugu huko vijijivi ambao sukari hata chumvi wanazisikia kwenye redio. Ama kweli Watanzania TUNAPENDA MAKUBWA huku shida njaa vifo kila leo vinatokea...Kwa kufanya vitu viwe simple UNAWEZA KUOKOA MAISHA YA WATU!
ReplyDeleteHebu tubadilike jamani! TUFIKIRIE NDUGU ZETU WENYE SHIDA badala ya kuspend hela nyingi kwenye KITU CHA SIKU MOJA!
Wabongo tumekumbwa na kawazimu flani. Unachosema kuwa tunapenda makuu ni kweli. Lakini kwa utamaduni wa sasa usipochangia harusi ya jamaa ama jirani unatengwa, usipochangia ishu za maendeleo unaonekana kweli huna kitu. There is a long way to go ili kuondokana na hako kautamaduni. Sie watu wa mjini tunabanana hapa town na artificial life wakati ndugu zetu kabisaa wa damu, wakula waya tu chijijini.TUBADILIKE, harusi ziwe za kawaida tu.
ReplyDeletehamna lolote hapo.mapambo mbona kawaida tu???
ReplyDeletewatz hebu lets live simple,so that others can simply live...
ReplyDelete