Home
Unlabelled
unapolizwa sabasaba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haya yalinikumba eapoti dar na wala hawakuniruhusu kuingia na maji yangu kwenye ndege nikaishia kuyatupa! Aaaaa!
ReplyDeletemalisa
Wahenga wanasema "Town is school". Pole kwa yaliyokusibu.
ReplyDeletePole mzee wa Libeneke!!
ReplyDeletetukusaidiaje?
ReplyDeleteUlilazimishwa kununua ama ulinunua mwenyewe mkuu? Maana hata kama ulikua hujauliza bei, uliporudishiwa hiyo jelo hapo naamini ukabaini kuwa bei ni mzozo kwako, ungerudisha tu hayo maji, ukaenda kujisevia maji ya bomba!
ReplyDeletePole kwa hayo. Maoni yangu kwako ni kwamba ni time tuanze kufikiria na vichwa vyetu na sio na ustaarabu wa wengine.
ReplyDeleteMimi nashauri siku ingine chukua chemsha maji nyumbani, weka kwenye chupa yako na zunguka nayo uendapo. Weka kwenye begi la mgongoni na sio kukumbana na gharama zisizokua na sababu.
Ni vizuri kama tutaanza kuachana na culture na kutumia vichwa vyetu kupunguza matumizi au kufanya maisha yetu yawe nafuu na sio kulalamika tu kutwa..maisha mabaya lakini ni sisi ndio hatutumii akili tunaiga.
Ndugu yangu Bongo tunadhulumiana vitu vingi tu,ingekua nchi za wenzetu hii hali wasingeivumilia hata! Ila kwa kua tulishajikatia tamaa basi,tunaacha mambo yaende kama yatakavyoenda.
ReplyDeleteLeo hii hata kabaa uchwara tu ka uchochoroni kanauza soda ya 350ml kwa tsh 400 au 500,na wabongo kimya wala hatulalamiki wakati soda za ujazo wa ml350 zinauzwa kwa tsh 350.
Mikate tunauziwa tsh 500 wala hatustuki.Nikikuorodheshea listi hapa ya mahitaji ya msingi na ufisadi wa bei nitajaza kurasa 20.
Je hivi bongo hakuna chama cha kutetea walaji? kama kipo kina kazi gani sasa?
Ila kwa hili lako hata kama ni price discimination hao jamaa wamezidisha yani 328.6%rise in price?
michu ulitegemea nini ulipoenda kwenye banda la "tingisha tuone kama imekwisha"
ReplyDeletewazee wa vipande..aaa aa pole sana
pole sana ila mjini shule hujuagiiii
ReplyDeletesweet,
Arusha.
Pole bro. Michuzi kwa uchungu ulioupata kutokana na bei ya maji ambayo ulihisi hukutendewa haki, ila naomaba unipe pole na mimi, kwa uchungu nilioupata kuona hizo noti umezikunjakunja hapo mezani zingali mpyaaa ile pyeee zimetoka kwenye ATM we ushazitia mikunjo naamini una wallet sidhani kana ni sawa kuwa ukishazitoa kwenye pochi unahaki ya kuzikunjakunja,
ReplyDeletemie mwenyewe nilikoma chpsi na mayai 2 buku mbili taslimu!!!!
ReplyDeletebwa shem mh! huyo annoy wa mwisho kanochekesha kweli kweli! kwani mi niklikutana na chips kavu book mbili na soseji moja 500 kwahiyo jumla 2500 ! nilikuwa na watoto wangu wawili wameisha get tayari kwa food ilibidi niwanyanyue haraka na biashara ya saba saba ikaishia hapo tukageuza home nikawapeleka sehemu wakala kuku mzima kwa 5000 na chips za upendeleo na soda ya bei halali . sijui huwa tunafuata nini kule , vumbi , wezi na watoto wanachoka sana usafiri shida hata kama unagari yako kutoka ni kimbembe yaani nashindwa kuelewa labda tumelogwa.
ReplyDeleteukilalamika utasikia jitu linakuambia hii ni saba saba kama huwezi toka au anakwambia starehe gharma bwana basi inabidi unyamaze