Home
Unlabelled
watoto hawajasahaulika sabasaba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh! Huwezi amini, sabasaba ya miaka ya 80 na ya sasa. Huu ni mchanga au ...? Naona hawa watoto wakimaliza kucheza hapo na nguo zibadilishwe. Kweli bongo tambalale, MUNGU ibariki Tanzania! Wapi tunaelekea?
ReplyDeleteTunafikiria sana ni jinsi gani ya kuwapa watu wazima starehe. Lakini sio watoto au watu wazee.
ReplyDeletevary nice, hiyo michezo ya watoto ni saba saba hadi saba saba au inapatikana wapi tupeleke wanetu wakajichanganye na wenzao?
ReplyDeleteYeah I was thinking about the same thing.Hivi kwa nini wasi sakafie hapo kwenye viwanja vya saba saba? I'm sure wanapata hela ya nguvu toka kwa wamiliki wa biashara.
ReplyDeleteAu ni jadi yetu waafrika kupenda vitu vibaya?
inawezekana wamelifikiria sana swala la kusakafia, lakini wakaona labda pakisakafiwa ni hatari kubwa endapo watoto wataumia, ikilinganishwa na ambapo hakuna sakafu.
ReplyDeletejamani nice michezo naombeni sana na nanenane mwaka huu mje huku Arusha na wenetu wachangamke/
ReplyDeletesweet,
Arusha.