watoto na wazazi ama walezi wao wakiwa katika sehemu ya mabembea na michezo mingine
uchache wa sehemu za huduma ya michezo kwa watoto inasababisha foleni kubwa kwenye maonesho ya sabasaba. iko haja wajasiriamali mlifikirie hili wakati wa sikukuu zote







Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2008

    Duh! Huwezi amini, sabasaba ya miaka ya 80 na ya sasa. Huu ni mchanga au ...? Naona hawa watoto wakimaliza kucheza hapo na nguo zibadilishwe. Kweli bongo tambalale, MUNGU ibariki Tanzania! Wapi tunaelekea?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2008

    Tunafikiria sana ni jinsi gani ya kuwapa watu wazima starehe. Lakini sio watoto au watu wazee.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 06, 2008

    vary nice, hiyo michezo ya watoto ni saba saba hadi saba saba au inapatikana wapi tupeleke wanetu wakajichanganye na wenzao?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 07, 2008

    Yeah I was thinking about the same thing.Hivi kwa nini wasi sakafie hapo kwenye viwanja vya saba saba? I'm sure wanapata hela ya nguvu toka kwa wamiliki wa biashara.

    Au ni jadi yetu waafrika kupenda vitu vibaya?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 07, 2008

    inawezekana wamelifikiria sana swala la kusakafia, lakini wakaona labda pakisakafiwa ni hatari kubwa endapo watoto wataumia, ikilinganishwa na ambapo hakuna sakafu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 08, 2008

    jamani nice michezo naombeni sana na nanenane mwaka huu mje huku Arusha na wenetu wachangamke/
    sweet,
    Arusha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...