jamhuri kihwelu 'julio' na bosi wake mbulgaria wakipungia mashabiki
mkuregenzi wa masoko wa tanzania breweries limited (tbl) david minja anauliza juu ya nini yanga kuingia mitini. tbl kupitia kilaji chake cha kesto ndio wadhamini wakuu wa kombe la kagame cup
zogo limeumuka hapa neshno baada ya kamisaa wa mchezo wa simba na yanga kutangaza sasa hivi kwamba muda wa kuwasubiri yanga ni dakika 45 na sio 15. simba wamekuja juu kinoma.


redio mbao zinsema yanga wanadai walipwe milioni 35 kwanza kabla ya kuingia uwanjani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2008

    HAWA YANGA NI KAMA VILE 'MFA MAJI...' WASEME UKWELI TU KAMA WANAIOGOPA SIMBA KWANI LISHAKUWA KAMA DARAJA LA SIMBA LA KUJICHUKULIA PESA! KUGOMA MAANA YAKE KUWANYIMA BURUDANI WATZ!NNA WACWAC PIA NA UELEWA WA VIONGOZI WA YANGA(ACHENI KUPENDA PESA,KWANI ZA MANJI HAZITOSHI)CHEZENI MSHINDE MPEWE PESA!HONGERENI SIMBA!MAMBO YA KUWEKA MPIRA KWAPANI YAMEPITWA NA WAKATI.THEN TUNATAKA MPIRA UKUE,KWA MTINDO HUU UTAKUWAJE?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 27, 2008

    Yani yanga ndio wanataka walipwe mil 35 hili waende uwanjani? Ndio yale yale kwani mkataba ulikuwaje.
    ? Na washauri tbl wawashitaki yanga na wapigwe faini kubwa sana hiwe fundisho.ni aibu mno kwa timu kubwa kufanya hivi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 27, 2008

    Yani yanga ndio wanataka walipwe mil 35 hili waende uwanjani? Ndio yale yale kwani mkataba ulikuwaje.
    ? Na washauri tbl wawashitaki yanga na wapigwe faini kubwa sana hiwe fundisho.ni aibu mno kwa timu kubwa kufanya hivi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 28, 2008

    Hapo Jamhuri Kihwelo anakuwa kama anasema

    "Na mshindi katika pambano letu la leo la ngumi la uzito wa juu ni huyu hapa"


    Lol

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...