Dj Kay ambaye pia anajulikana kama Young blood akijinoa Tayari kwa sherehe za Labour day Week end ambazo zitafanyika Washington Dc Kuanzia tarehe 08/29/08 mpaka 08/31/08 ambapo Ali Kiba pia atakuwa ndani ya nyumba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. kaka michuzi,dah naona utamiss uhondo.huyo kijana anatisha ni dj anayejituma kaza buti mdogo wetu najua wewe na dj joe mtaturusha big tyme.Lazima mfunike mwaka wenu rekebisheni makosa yaliyopita 'YES WE CAN'we got luv 4 u bwooooy

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...