Home
Unlabelled
mazula azikwa dar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Brian, Junior, mama Mazula na ndugu na jamaa wote; Mungu mwenyezi awaimarishe katika kipindi hiki kigumu. "Sisi tulimpenda na mungu mwenyezi aliyemuumba amempenda zaidi na hivyo kumwita mahala pema mbinguni". Mwanga wa milele umwangazie ee bwana.........
ReplyDeleteRIP uncle....
ReplyDeletemheshimiwa Zitto hilo shati vipi?
Jamani na tusome alama za nyakati. Najua vazi la kanga ukizungumza ukweli kwamba limeshapigwa bao mashosti tutamaind.....ila si mmejionea wenyewe mlivyojisikia. Kwa hapo utakitafuta kiti cha nyuma mwenyewe...ukiulizwa kulikoni utadai unapenda fresh air...haloooo!!!!
ReplyDeleteMungu amrahamu, huyu baba alikuwa mwema na wakujivunia kwa familia na jamii pia. Nakumbuka miaka ya 90' nilikwama airport mza nilikuwa naenda kuhudhuria semina kesho yake dar, sikuwa na ok, abiria wote walipanda nami nikaachwa pale, alipita akielekea ndani kurusha ndege akauliza mbona abiria wangu mmoja bado yuko hapa? akaambiwa ndege imejaa, akasema mruhusu atakaa na sisi kule mbele na nilikwenda kwa amani na salama na kuona jinsi marubani wanavyoendesha ndege zao, bila yeye kujua alinisaidia mara ya pili nilichelewa kufika airport kwa sababu ya foleni ya magari, nilipofika watu wote wameshakaguliwa na wameingia ndani ya dege na ngazi imepandishwa, nikaambiwa umechelewa, ngoja tumtaarifu rubani, walipomtaarifu nikasikia kwenye kipazasauti pale kwa checking officer anasema mruhusu aingie nateremsha ngazi, na nikasafiri nao. Sitasahau wema wake huo aliniokoa kwani nilikuwa nimeruka weekend kuhudhuria harusi ya ndugu nikijua j'3 asubuhi nitawahi kurudi ofisini. Nilijifunza vingi kwa wema wake huo bila yeye mwenyewe kujua. Namuombea rehma , Mungu amuangazie nuru ndani ya kaburi lake ampunguzie adhabu ya kabri, na mungu ailinde na kuifariji familia yake Amin.
ReplyDeleteBwana wee kweli kama mdau wa 08:18am alivyosema hawa jama nafikiri walitoa dressing code kwa wahudhuriaji maana hiyo ni very western style, wenye khanga wako out of place. Jamaa walijiandaa vizuri sana wamempa send off nzuri sana. Naona wakerewe kweli wameendelea siku hizi maana hata huyo mjane huamini kama kafiwa jinsi walivyompamba, Naamini hata Marehemu amepumzika kwa amani. Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani, Amina.
ReplyDeletewajameni, vazi la kanga sio kama limepitwa na wakakti, inategemea ni jinsi gani wewe mfiwa au nyie wafiwa mmeamua kumuenzi mpendwa wenu aliewatoka.. ingawa ktk kila misiba mashangingi yapo mfano hai ni mdada mmoja anaeitwa miriam chingwile, cabin crew ATC.. yeye naona alikuja pale kutafuta bwana, na sio kumzika capt wake.. lol. best subiria laurence masha akifa ndio uende ukafanye ukahaba kwa wasukuma.. uone watakavyokutoa baruti.. umezidi dada punguza..
ReplyDeleteBuriani kaka George!Nimejifunza kitu kikubwa katika maziko ya mpendwa kaka yetu. Kuishi na watu vizuri.Hakubagua watu kabisa.
ReplyDeleteIla nilivutiwa na shati la mh. Zito kabwe. Sijui aliambiwa na fundi awe analivaa kila kwenye tukio ili nyota yake ing'ae. Kifulana cha mbunge wa nanihii hakifui dafu!Kaka Zito,vipi bwana?